Fiston Mayele anaibeba Yanga sana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwenye asilimia 100% ya mafanikio ya Yanga msimu huu Mayele ana asilimia 80% peke yake.

Kama una cheki vizuri game za Yanga basi ukweli huu utakubaliana nao. Ukiangalia jinsi Yanga wanavyo cheza msimu huu bila player maker mzuri kama vile chama na wengine. Na aina ya magoli ambayo Mayele anafunga hakika ana stahili heshima yake.

Kuna baadhi ya magoli ambayo anafunga kwa kuanzisha mashambulizi mwenyewe anashuka mpaka nyuma kule kwenda kuchukuwa mipira na kupanda nayo.

Halafu anatokea mtu from no where eti ambaye ni mchezaji ambaye ana subiri mipira inbox.
 
ni mchezaji wa yanga mlitaka aibebe azam?
 
Chemistry ya timu ndio kila kitu, kumtegemea mtu mmoja kama malaika ni ushamba, ndio maana kila siku ushindi ni 1-0!

Mwishowe kuongoza ligi huku unatetemeka..
 
Chemistry ya timu ndio kila kitu, kumtegemea mtu mmoja kama malaika ni ushamba, ndio maana kila siku ushindi ni 1-0!

Mwishowe kuongoza ligi huku unatetemeka..
Siku timu ijichanganye hapo taifa iwe pungufu then waendelee kufunguka kama prison na mcc walivyofunguka dhidi ya makolo ndio utaona siku hiyo mtu anapigwa hata goli 10,shida hivyo vitimu vikicheza na Yanga vinasaka droo timu nzima inacheza chini,juzi mcc wako pungufu lakini makolo waliomba mpira uishe
 
Sio anaibeba,anainyanyua kabisa,akitikisa kama Feitoto watajiharishia watani zangu
 
Kwani lengo la kusajiliwa kwake lilikuwa ni nini?
 
 

Attachments

  • Yng.jpeg
    115.3 KB · Views: 1
Alisajiliwa kama mshambuliaji kwahyo anatekeleza majukumu yake lakini pia kuna wachezaji wengine kama mabeki, kipa na viungo nao wamesajiliwa na wanatimiza majukumu yao ikiwemo kushirikiana na Mayele ili timu iondoke na point 3
 
Umeharisha tu humu, Yanga ina play maker zaidi ya watatu, Aziz Ki, Aucho Moroko, Djuma Shaaban, unatapika kwa kumtaja kiungo mwenye spidi ya konokono.
 
Huu Uongo muwe mnasimuliana jikoni. Mchezaji mmoja anawezaje kuchangia asilimia 80 ya mafanikio ya timu? Yaani anafunga, anakaba, anazuia, anatoa pasi za mwisho isipokuwa kudaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…