kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kwenye asilimia 100% ya mafanikio ya Yanga msimu huu Mayele ana asilimia 80% peke yake.
Kama una cheki vizuri game za Yanga basi ukweli huu utakubaliana nao. Ukiangalia jinsi Yanga wanavyo cheza msimu huu bila player maker mzuri kama vile chama na wengine. Na aina ya magoli ambayo Mayele anafunga hakika ana stahili heshima yake.
Kuna baadhi ya magoli ambayo anafunga kwa kuanzisha mashambulizi mwenyewe anashuka mpaka nyuma kule kwenda kuchukuwa mipira na kupanda nayo.
Halafu anatokea mtu from no where eti ambaye ni mchezaji ambaye ana subiri mipira inbox.