Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

si kuna msemo naona unaenezwa humu unasema kwamba (ukiondoka Yanga kwisha habari yako) tena na mifano ikatolewa kedekede. Sasa inakuwaje kwa Mayele inakuwa tofauti!
Kwasababu mayele alionyesha ,bidii,heshima,maelewano na wenye timu so nyota yake haikufa japo usemi waweza kuwa kweli japo sina ushahidi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…