Fiston Mayele aondolewe kwenye Ligi ya NBC

Una uhakika kafunga kila mechi? Hakika uto ni uto. Msimu uliopita alikuwepo na kiatu alichukua Gorge Mpole. Huyo ni msindikizaji tu Phiri mwenye kiatu chake atampita.
 
Phiri na Kibu wanashindwaje kufunga magoli kirahisi?
 
Sasa huoni mchezaji wetu Kibu Denis atakosa mpinzani wa kweli kwenye mbio za ufungaji bora!
 
Toka siku ile nashuhudia Sakho anafunga goli alafu anashangilia kizombie vile nikaunganisha na tukio la kukamwatwa na sembe kwa kocha wenu nimeamini wachezaji wa Simba alikuwa wanatumia sembe na ndio maana saizi asilimia 90 yao wameshuka viwango ghafla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…