Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anashusha hadhi ya Ligi hiyo , Haiwezekani , anafunga magoli kirahisi namna ile , Bila shaka mabeki Wanamuogopa .
Aondolewe ili kulinda hadhi ya Ligi ya NBC , Maana katika hali ya kawaida haiwezekani mtu mmoja kufunga magoli kila mechi yeye tu .
Aondolewe ili kulinda hadhi ya Ligi ya NBC , Maana katika hali ya kawaida haiwezekani mtu mmoja kufunga magoli kila mechi yeye tu .