Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

Unasemeje

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
249
Reaction score
923
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
 
Unakuta na wewe una mavuzi kabisa na unaitwa baba watoto. Wanawake poleni sana maana mnakumbana na gubu za hovyo sana kama hili punga.

Hivi Tanzania tuna ushamba gani huu iliopitiliza?
 
Pole Sana kwa maumivu yatokanayo na hofu,usiogope,yanga hawawezi msajili chama,wameenea pale kati
 
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Pole sana kwa matusi unayotukanwa. Ungekuja na uzi wa kusifia, muda huu ungekuwa unapongezwa tu na mashabiki wenzako wasiopenda mawazo mbadala.
 
Kny hayo majina hapo wana aziz ki tu.😂na kusajili madarasa cjui huo ubingwa wanaubebaje na kiungo wachovu🤣(ki)
 
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Aahaaaaa
 
Back
Top Bottom