Fiston Mayele na mvuto wa watu

Fiston Mayele na mvuto wa watu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
IMG_1850.jpg

Kuna kitu ambacho nimegundua kwa fistom mayele

Uyu jamaa ana nyota ya kupendwa na watu

Yaani ana mvuto wa watu
Mimi nilifikiri yanga tu ndo anapendwa na watu wengi na wengine kumfurahia
Even Vita club alikuwa na shangiliwa kama anavyo shangiliwa yanga
Sasa wenye akili ndo watumie fursa hii kutangaza biashara vyao
Maana watu kama hawa wana ushawishi fulani kwa jamii like messi and ronaldo

Leo hii unaweza kutengeneza T-shirt ambazo
Utaweka mayele style i think unaweza kupata pesa nyingi saana sio Tu Tz even DRC
Or an other countries where are his fans
IMG_1736.jpg
 
Wabongo si wanaishi kwa kufata upepo tu

Ova
 
Ndo staili ya kumtafutia shavu la matangazo au?
 
Kale kastyle kakushangilia kanawakosha wengi. Kuna Mbumbumbu moja huwa inashangilia kwa siri chooni ili asistukiwe na Mbumbumbu nyenzake.
 
Kale kastyle kakushangilia kanawakosha wengi. Kuna Mbumbumbu moja huwa inashangilia kwa siri chooni ili asistukiwe na Mbumbumbu nyenzake.

Usipindue maneno ni kwamba pana Semaji la Utopoloni lilikwenda kuchekea Chooni siku Uto imetandikwa nnje ndani na Rivers.
 
Huyu jamaa anaweza cheza ligi yoyote ulaya na akatikisa hususan EPL ..kama Samata aliweza yeye ukamtupa pale astonvilla au Everton anauwasha naatatikisa zaidi maana atakua na wakali zaidi wa kumlisha mipira..
 
Una mfananisha Fundi Mayele na Mpuuzi Samatta...?

Ole wako urudie tena? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom