kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kuna kitu ambacho nimegundua kwa fistom mayele
Uyu jamaa ana nyota ya kupendwa na watu
Yaani ana mvuto wa watu
Mimi nilifikiri yanga tu ndo anapendwa na watu wengi na wengine kumfurahia
Even Vita club alikuwa na shangiliwa kama anavyo shangiliwa yanga
Sasa wenye akili ndo watumie fursa hii kutangaza biashara vyao
Maana watu kama hawa wana ushawishi fulani kwa jamii like messi and ronaldo
Leo hii unaweza kutengeneza T-shirt ambazo
Utaweka mayele style i think unaweza kupata pesa nyingi saana sio Tu Tz even DRC
Or an other countries where are his fans