Labda walimu wa huko kwenu ISMayele kipenzi cha watu. Walimu naomba mwanafunzi darasani akipata swali apongezwe kwa mayele staili.
Kale kastyle kakushangilia kanawakosha wengi. Kuna Mbumbumbu moja huwa inashangilia kwa siri chooni ili asistukiwe na Mbumbumbu nyenzake.
Una mfananisha Fundi Mayele na Mpuuzi Samatta...?Huyu jamaa anaweza cheza ligi yoyote ulaya na akatikisa hususan EPL ..kama Samata aliweza yeye ukamtupa pale astonvilla au Everton anauwasha naatatikisa zaidi maana atakua na wakali zaidi wa kumlisha mipira..