njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao wawili wamewapa raha sana.
Ni mchezaji hatari kutoka Burundi mtambo wa magoals Abdul fiston na Tk Master walipkubaliana kutofanana styles zao za nywele ili zisichanganye mashabiki wao waliokuwa wanalalamikia rangi zao za nywele kufanana kitu ambacho kilikuwa kinawakosesha raha.