Tetesi: Fitina na majungu kwa Mh Rais Magufuli nikama mvuke 2020

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
 
1482054156468.jpg
siku mama ako akikunyang'anya hicho kitecno ndio utaelewa kwa sasa endelea kupost ujinga...
 
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
 
Sijui anataka kufunga Jamii forum Lumumba buk 7 wafe njaa?.......

Sijui ikifungwa utetezi wa ki lasaba kama huu utakuwa ukitolewa wapi?........

Jamii forum ikipona kuna watu wanatakiwa kuamishiwa Facebook.......

Sijui mpiga dili ni nani kati ya aliyenunua boti chakavu ,Kuuza nyumba za Serikali ,na tukio kubwa la kula Rambi rambi..........
 
Sasa ulitaka wawe wanapaa au?
 
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Unaanza kujitetea ili usikamatwe!?? Tangu lini na wewe unamsifia magufuli.
 
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you

Af pilipili haijakufkia ndo mana unaongea hv cku ikkufkia utakua timamu cio saiv unaropoka tu'
 
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Amen RA
 
Sijui anataka kufunga Jamii forum Lumumba buk 7 wafe njaa?.......

Sijui ikifungwa utetezi wa ki lasaba kama huu utakuwa ukitolewa wapi?........

Jamii forum ikipona kuna watu wanatakiwa kuamishiwa Facebook.......

Sijui mpiga dili ni nani kati ya aliyenunua boti chakavu ,Kuuza nyumba za Serikali ,na tukio kubwa la kula Rambi rambi..........

Who cares?
 
Hakuna mtu ambaye anakaa kumkaanga huyo Pogba, Pogba anajikaanga mwenyewe.

Mwambiee Pogba hii ni Nchi na wala sio familia yake.
 
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Amejenga Lami gani kwa pesa kutoka wapi?.........

Nyie juzi si ndio mlisema wacha magari ya wagonjwa yaende kanda ya ziwa maana maana kaskazini kuna barabara kila mahali?.....

Je hiyo lami bukoba imetoka wapi ?......

Hivi unajua unajua kuwa Barabara zote karibu 90% zinajengwa kwa mkopo ambao kila mtanzania sasa hivi anadaiwa 1.5 Milioni ya deni la taifa ambalo ni trions 65 kwa sasa.....

Millennium challenge wameondoa kwenye barabara 1.2 trions kwa sababu ya upumbavu wa kupitisha cyber crime law?......

Upuuzi kwa mtu anayekuja hapa kusema eti amejenga barabara nchi nzima wakati wizara yake ilikutwa na ufisadi wa zaidi ya bilioni 200+ na huku wakandarasi walikuwa hawajalipwa kiasi cha 1.2trions huku asilimia 25 ya pesa hizo ikiwa ni ongezeko la riba.

Upuuzi mtupu kutetea mtu wa namna hii ccm ni ile ile wala hakuna kitu kipya ...
 
Amejenga Lami gani kwa pesa kutoka wapi?.........

Nyie juzi si ndio mlisema wacha magari ya wagonjwa yaende kanda ya ziwa maana maana kaskazini kuna barabara kila mahali?.....

Je hiyo lami bukoba imetoka wapi ?......

Hivi unajua unajua kuwa Barabara zote karibu 90% zinajengwa kwa mkopo ambao kila mtanzania sasa hivi anadaiwa 1.5 Milioni ya deni la taifa ambalo ni trions 65 kwa sasa.....

Millennium challenge wameondoa kwenye barabara 1.2 trions kwa sababu ya upumbavu wa kupitisha cyber crime law?......

Upuuzi kwa mtu anayekuja hapa kusema eti amejenga barabara nchi nzima wakati wizara yake ilikutwa na ufisadi wa zaidi ya bilioni 200+ na huku wakandarasi walikuwa hawajalipwa kiasi cha bilioni 1.2 huku asilimia 25 ya pesa hizo ikiwa ni ongezeko la liba ambazo ni bilioni 300 wakati wizara ina ufisadi wa zaidi ya bilioni 200+ .

Upuuzi mtupu kutetea mtu wa namna hii ccm ni ile ile wala hakuna kitu kipya ...
Kwa umbea huu sidhani kama utaolewa wewe mwanamke.

Kwanza Mbowe amelipa deni la wananchi pale Nhc? Tunataka hiyo hela ikasaidie kutatua kero za wananchi.
 
Mbowe alipe deni letu lakini na huyu malaika arudishe nyumba zetu......
 
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS

Nakubaliana na wewe unaposema hivi ni "vita kati ya giza na nuru." Tatizo umeshindwa kutambua au kukubali aliyegizani na anayetaka kuleta giza ni nani. Pia, umeshindwa kutambua au kukubali asiye gizani na anayekataa kuletewa giza ni nani. Ni Mungu tu ndio atakaye kunusuru na unafiki na ulimbukeni huu mkubwa!
 
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Huo ugoro uliokula ndo unakupelekesha sio akili yako
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.

Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.

Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,

Shame on you
Hii umekaririshwa huko mtaa wa saba... Maana hii takataka kila thread unaipost... Au ndio madhara ya ZIKA yameanza kufanya kazi.
 
Kwa umbea huu sidhani kama utaolewa wewe mwanamke.

Kwanza Mbowe amelipa deni la wananchi pale Nhc? Tunataka hiyo hela ikasaidie kutatua kero za wananchi.
Za mbowe ndo zitatatua matatizo ya nchi vipi zile za tetemeko zilitatua au mtazichanganya
 
Back
Top Bottom