Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,
Shame on you
Unaanza kujitetea ili usikamatwe!?? Tangu lini na wewe unamsifia magufuli.Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,
Shame on you
Amen RAKumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Sijui anataka kufunga Jamii forum Lumumba buk 7 wafe njaa?.......
Sijui ikifungwa utetezi wa ki lasaba kama huu utakuwa ukitolewa wapi?........
Jamii forum ikipona kuna watu wanatakiwa kuamishiwa Facebook.......
Sijui mpiga dili ni nani kati ya aliyenunua boti chakavu ,Kuuza nyumba za Serikali ,na tukio kubwa la kula Rambi rambi..........
Amejenga Lami gani kwa pesa kutoka wapi?.........Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,
Shame on you
Kwa umbea huu sidhani kama utaolewa wewe mwanamke.Amejenga Lami gani kwa pesa kutoka wapi?.........
Nyie juzi si ndio mlisema wacha magari ya wagonjwa yaende kanda ya ziwa maana maana kaskazini kuna barabara kila mahali?.....
Je hiyo lami bukoba imetoka wapi ?......
Hivi unajua unajua kuwa Barabara zote karibu 90% zinajengwa kwa mkopo ambao kila mtanzania sasa hivi anadaiwa 1.5 Milioni ya deni la taifa ambalo ni trions 65 kwa sasa.....
Millennium challenge wameondoa kwenye barabara 1.2 trions kwa sababu ya upumbavu wa kupitisha cyber crime law?......
Upuuzi kwa mtu anayekuja hapa kusema eti amejenga barabara nchi nzima wakati wizara yake ilikutwa na ufisadi wa zaidi ya bilioni 200+ na huku wakandarasi walikuwa hawajalipwa kiasi cha bilioni 1.2 huku asilimia 25 ya pesa hizo ikiwa ni ongezeko la liba ambazo ni bilioni 300 wakati wizara ina ufisadi wa zaidi ya bilioni 200+ .
Upuuzi mtupu kutetea mtu wa namna hii ccm ni ile ile wala hakuna kitu kipya ...
Mbowe alipe deni letu lakini na huyu malaika arudishe nyumba zetu......Kwa umbea huu sidhani kama utaolewa wewe mwanamke.
Kwanza Mbowe amelipa deni la wananchi pale Nhc? Tunataka hiyo hela ikasaidie kutatua kero za wananchi.
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Huo ugoro uliokula ndo unakupelekesha sio akili yakoKumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao jamaa wanamkashifu nakumponda Mh Rais na serikali yake. . Mimi leo nataka kuwaambia fitina zao na majungu yao kwa rais wetu nikama mvuke 2020 kiasi sioni kama kunawanacho kilenga watafanikiwa. MH RAIS MAGUFULI FANYA KAZI HII NI VITA KATI YA GIZA NA NURU MWISHO NURU ITASHINDA. UDUMU MH RAIS
Hii umekaririshwa huko mtaa wa saba... Maana hii takataka kila thread unaipost... Au ndio madhara ya ZIKA yameanza kufanya kazi.Chadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,
Shame on you
Za mbowe ndo zitatatua matatizo ya nchi vipi zile za tetemeko zilitatua au mtazichanganyaKwa umbea huu sidhani kama utaolewa wewe mwanamke.