Tetesi: Fitina na majungu kwa Mh Rais Magufuli nikama mvuke 2020

Ulikuwa unatetemeka nn wakati wa kuandika??
 
Sasa mnataka kuifungia JF huu upuuzi wako ungeupitishia wapi hivi akili huwa zinawarudi kama homa ya vipindi
 
Mawazo mfilisi, nadhani naongea bushman
 
haya pia uliyoandika ni fitina na majungu jumlisha KUJIPENDEKEZA
 
Bora wewe unaejikomba kwa kuandika porojo kuliko wenzako wanaoichongea Jf kwa maboss wao
 
TUNAMPENDA,TUNAMUAMINI,TUNA IMANI NAE KUBWA SANA NA TUTAMCHAGUA TENA 2020 NA AKIMALIZA NGWE YA PILI TUNAMUONGEZEA NYINGINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…