Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

Acha woga si mlimtaka wenyewe,subirini kichapo tu
 
Topolo litapigwa kama ngoma sku hiyo,mapeeeeeema na jezi yangu ya masandawana,nna shida gani???
 
Kuna jamaa toka games zipangwe anasonya tu kama nyoka. Sijui shida nn [emoji23][emoji23]

Kunjani [emoji444]
 
Futuru Sheikh utakaa sawa. Kwa sasa njaa itakufanya uandike chochote ...
 
nchi hii ina watu wa ajabu sana, hii draw unadhani ilipangwa kabla?

ok, tufanye ilipangwa kabla, haya tuambie ulitaka simba akutane na nani ndio ujue hajaonewa? Mamelody? Petro? maana asec alikuwa nae kundi moja....... mi naona kati ya hao watatu Ahly ni afadhali kuliko Petro na Mamelody

kwa Yanga, ulitaka akutane na nani? Asec? Petro? maana ni afadhali kakutana na Mamelody anaweza pata hata ushindi dar, ila kwa Petro angekufa kote kote, wale waangola ni hatari mno msimu huu....... au ulimtaka Asec?
 
Yamekua hayo? Nyie si mlisema mnamtaka mamelodi?😂😂
 
Ni kweli kabisa, Yanga hatupashwi kuwaogopa Mamelodi na timu nyingine zote tunazokwenda Kushindana nazo ili mradi tuna wachezaji wazuri.
Yatupasa kukemea Pepo la hofu na uwoga ndani ya nafsi zetu, Mungu hapendi kufanya kazi na waoga.
Mungu akiwa upande wetu tutashinda, na zaidi ya kushinda,
Shida Iko wapi?

Kama Yanga tumeingia kwenye Mashindano haya kwa nia ya kutafuta Ubingwa ni lazima tungekutana na Mamelodi na timu nyingine zote zenye Kushindana ili kutafuta Ubingwa wa Mashindano hayo.
Sisi Yanga tunayaweza yote katika Yeye atutiaye nguvu, na Tutashinda na zaidi ya kushinda tusijidharau.
Utukufu una Mungu wetu, tuendelee kuombea timu yetu Ushindi na afya za wachezaji wetu, Viongozi wetu na Wana-Yanga wote kwa Ujumla wetu, na kila Mmoja aseme Amina!!
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako ni fikirishi, Tanzania zimefuzu timu mbili Smba na Yanga, hizi timu zibadilishane uzoefu ili zisonge mbele ,,,(zipange mikakati ya pamoja ya ushindi), badala ya ushabiki wenye chuki na dhihaka
 
Ila MAKOLO wao kidogo afadhali AL AHLY wanamuwezaweza sisi YANGA safari yetu imeishia hapo.
 
Nimesoma nilipofikia eti Yanga lengo ni kutafuta ubingwa nikaacha. Rais wako anasema lengo makundi wewe kichwa panzi unadai ubingwa [emoji23][emoji23]
 
Nilishaisikia hii kitambo hata huko mambele.
 
Loh!
 
Huyu ni shabiki wa utopolo akieleza kwa uchungu sana baada kuona wamepangwa na masandawana wazee wa roho mbaya
 
i suggest,kwasababu watani hawakutani nusu fainali basi simba aisaidie yanga kumtoa mamelodi na yanga amsaidie simba kumtoa ahly,likitokea hilo CAF watashika adabu next time hizo timu zao pendwa hawatozileta tena tanzania kwenye hatua hizi...WATAKOMA
 
Huu ndo ukweli ulivyo,cha msingi tupambane ikiwezekana mmoja aingie nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…