Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

Timu kubwa kwenye mipango Yao hawabahatishi. Wakati sisi uku tunafanya prediction ya nani utacheza naye wao unakuta walisha book ticket, hotel na uwanja wa mazoezi kwakua walishaijua safari Yao mapema.
Unakuta ata refa walisha mjua[emoji1][emoji1]
Huna facts
 
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.

Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.

Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza kisaikolojia, wametupangia hivyo makusudi Ili tutoke , wametuona sisi ni dhaifu, nasema sisi watanzania sio dhaifu , lazma tukabiliane na mishale yote dhidi yetu.

Sasa kwenye Madam Kuu, Hawa jamaa wa CAF Huwa tayari washapanga nani akutane na nani, pale utaona mipira yote katika vyungu tengwa inafanana Kila kitu ukiangalia Kwa macho lakini sio kweli mipira haifanani, nikujulishe kumekuwa na uvujaji wa taarifa juu ya kinachofanyika kwenye draw za michuano mkubwa kama hii.

Sasa unaweza ukaona Kwa mbali ama kwa karibu mipira minne ya chungu kimoja inafanana kwa Kila kitu yaani rangi na size, ila kiukweli hilo halipo na ndomaana nasema draw inapangwa nje, pale unaweza kuona mipira imefanana rangi lakini anaebeba mpira anajua kabisa nabeba timu gani kwasababu wahuni wale huwa katika mipira iliyofanana ndani yake utakuta kuna mpira wa moto yaani unajoto labda huyu yanga, kuna mpira wa baridi huyu labda simba, kuna mpira mzito kuliko mingine huu utajua ni mamelod, na kuna mpira kama una upele huyu ni asec.

Hivyo kuzani kwamba draw inachezeshwa fair ninkujidanganya, all in all mpira utabaki kuwa na maajabu yake , watu wanaweza wakafanya Kila kitu ila mpira ukaja na matokeo yake ya kipekee
MKUU HAHAHAHAA YALE MARYDIO TU
GOOGLE KUNA KASHFA YA KUZIBEBA TIMUZA MISRI ENZO HIZO MMOJA AKAJIACHIA KUNA VIDUBWASHA VYA JOTO NA BARIDI SO WAKIBEBAA WANAJUA ANAKUJA FLAN
IMEISHAHIOOO
 
Sisi hatujali watupe yoyote tu
Wametupa hao wazulu tunawasubiri ,hakuna kulia lia hapa ni kuua tu
 
Acha malalamiko.hakuna hujuma yoyote.kwasababu wa kwanza anapangwa na wa pili.mngetaka kupangwa na vibonde mngeongoza kundi.mlikua mnalilia ukubwa sasa mnalalamika nini?.Au mlitaka mpangwe na nani kwa mfano.Au mnajitapa kwa vibonde wakija wakubwa mnafyata.Fupa hilo mpambane nalo.
 
Mm mi simba damu ila nawaombea uto wawachape hao mamelod tano ubweche na simba baba laiwapo kichapo waarab ili nao wakafunge ramadhan kwa utulivi sio kila mwaka wasumbue wao tu
 
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.

Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.

Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza kisaikolojia, wametupangia hivyo makusudi Ili tutoke , wametuona sisi ni dhaifu, nasema sisi watanzania sio dhaifu , lazma tukabiliane na mishale yote dhidi yetu.

Sasa kwenye Madam Kuu, Hawa jamaa wa CAF Huwa tayari washapanga nani akutane na nani, pale utaona mipira yote katika vyungu tengwa inafanana Kila kitu ukiangalia Kwa macho lakini sio kweli mipira haifanani, nikujulishe kumekuwa na uvujaji wa taarifa juu ya kinachofanyika kwenye draw za michuano mkubwa kama hii.

Sasa unaweza ukaona Kwa mbali ama kwa karibu mipira minne ya chungu kimoja inafanana kwa Kila kitu yaani rangi na size, ila kiukweli hilo halipo na ndomaana nasema draw inapangwa nje, pale unaweza kuona mipira imefanana rangi lakini anaebeba mpira anajua kabisa nabeba timu gani kwasababu wahuni wale huwa katika mipira iliyofanana ndani yake utakuta kuna mpira wa moto yaani unajoto labda huyu yanga, kuna mpira wa baridi huyu labda simba, kuna mpira mzito kuliko mingine huu utajua ni mamelod, na kuna mpira kama una upele huyu ni asec.

Hivyo kuzani kwamba draw inachezeshwa fair ninkujidanganya, all in all mpira utabaki kuwa na maajabu yake , watu wanaweza wakafanya Kila kitu ila mpira ukaja na matokeo yake ya kipekee
Umeongea jambo kubwa sana ila..
Twende tukapambane kama nchi..tusiwe na mentality za kina popoma na okwi baban sunzu
 
Ukitizama kiundani ni kama vile vitufe vina alama za nundu au upele ambao unamjulisha uzugaji kujidai anachagua kumbe walishapamba hayo mapema

Nilibaini hilo bada ya kuona ni kama anapapasa flani yale matufe
Hiyo yote nini, kuwaogopa mamelodi au?
 
Ni jambo ambalo lisingewezekana kwa timu kama Al Ahly kukutana na Mamelody kwenye mtoano.

Draw inapangwa kwa kuzingatia vigezo vya nafasi ambazo timu ilimaliza kwenye group stage.

Timu zote zilizomaliza zikiwa kinara zinahesabiwa kama ndio timu bora.

Na kawaida ya mashindano ladha inakuja pale timu bora zinapokutana mwishoni.

Kwa kuliona hilo zikawekwa kanuni ya kufanya timu bora zisiweze kukutana kwenye hatua za mwanzoni.

Kwamba timu ambazo zilimaliza zikiwa namba moja kwenye kundi zitapangwa na timu ambazo zilishika nafasi ya pili.

Timu nyingi zinazoshika nafasi ya pili mara nyingi ndio zile ambazo zinajitafuta japo kuna muda hata timu kubwa zinajikuta zinaangukia kwenye hiyo nafasi.

Sasa kinachofanyika ili kuipata ile ladha ya mpira halisi sheria ikawekwa kuwa hizi timu kubwa zilizovuka makundi zikiwa kinara haziwezi kukutana kwenye hatua ya robo ili huko mbeleni wabaki wababe peke yao.

Isingeweza kuleta ladha halisi ya mashindano kama fainali zinakutana zile timu dhaifu kwasababu wakubwa walitoana wenyewe kwa wenyewe.

Na sheria hiyo ipo hata kwenye preliminary round, timu yenye point nyingi inapangiwa na timu yenye point ndogo.

Na ndio maana huwezi kuona Al Ahly na Mamelody wanakutana kwenye hatua hizo za mwanzoni.

Msimu wa 2020/021 Simba tuliongoza kundi tukapewa kibonde Kaizer Chiefs ambaye alikuwa group moja na Mamelody

Mamelody kwasababu alikuwa ndio kinara kwenye group akapangwa na Al Ahly ambao walikuwa nafasi ya pili nyuma yetu.

Kwa hiyo sio kweli kuwa kuna figisu zinafanyika bali ni kanuni tu, kwasababu tunaona Mamelody alikutana na Al Ahly kwa kigezo hiki hiki kilichotumika leo.
Hao watu wanaweweseka tu wala hawawezi kukuelewa.Badala wajue kanuni zinasemaje wao wanajichagulia mpinzani kibonde ili wakimfunga wajifarijir wana timu kubwa.
 
Hahaha [emoji1787][emoji23]!! Dawa imeingia
 
Hao watu wanaweweseka tu wala hawawezi kukuelewa.Badala wajue kanuni zinasemaje wao wanajichagulia mpinzani kibonde ili wakimfunga wajifarijir wana timu kubwa.
Kipindi wanapangwa na Rivers hakuna aliyethubutu kuhoji uhalali wa upangaji wa draw.

Badala yake tuliwaona wakishangilia
 
Ni kweli, hata mimi nilikuwa naipenda Barca kwa viwango vile hadi ilipogundulika walikuwa wananunua matokeo.

Hiyo inawezekana. Ile ni Biashara, hapo bado kuna fitna part 2 katika kuhakikisha hatupiti hata tujitutumueje.
 
Wakubwa siku zote uwa wanajichagukia timu wanazo zani ni dhaifu ila ukisha watoa nishai Wana kukimbia.

Kwenye mahojiano baada ya makundi kupangwa Engineer Hersi Ali dokeza, wakati Yanga wanacheza mechi ya mwisho dhidi ya Ahly, Mamelodi walikua wametuma wataalamu wao kuja kuangalia mechi Ile.
Maana yake tayari walisha panga kua watakutana na Yanga.

Kinacho hitajika ni Yanga kuwaandalia surprise package ao Mamelodi na ita watisha wakubwa wengine wa soka kwamba nyuki hapigwi busu.
Walipanga wapi?.uku ni kujifariji..Wenzako bench lao la ufundi liko serious na lina watu kibao wanaosambaa kila kona kwenye timu zenye mashindano wanayoona watakutana nao.wanatuma watu kwenye timu kibao.fwatilia taarifa zao utaona.
 
Back
Top Bottom