Fitina: Nani katika hawa alimdanganya Dkt. Magufuli kuwa Drone za kuzimia moto ni Camera

Ishu wala haikua drones mkuu. Mkutano na WaRomania ulikua kwa ajiri ya kubaini nani yupo nyuma ya ile Account maarufu kule twitter “ Mr Log”. Alikasirika kwa sababu walitumia pesa nyingi sana lakini matokeo hayakuonekana. Hayo mambo ya drone ilikua kwa ajiri ya magazeti tu
 

Unasema?
 

Kangi amesema ni za kuzimia..Lakin ipo haja sasa kikatiba hii mikataba iwe inajadiliwa bungeni pia
 
Huyu Kangi Lugoda ni bure kabisa! Tena anaudhi.
Hydrant zimewashinda. Yeye anakimbilia Drone.
Tuna magorofa mangapi ambayo yanaotaji drone? Na kwanini hayo magorofa wasitumie njia nyingine mbadala za kujinga na moto badala ya drone?
 
Ila Kangi aliiweza sana wizara ya mambo ya ndani, tatizo lake sifa zilimzidi
Huyu aliyeona suluhisho la shirika la zima moto ni drone! Nyumba hata ya vyumba viwili ni changamoto kwa hili shirika. Yeye alikimbilia kutafuta vifaa vya kuzima majengo ya ghorofa 20!
 
Huyu Kangi Lugoda ni bure kabisa! Tena anaudhi.
Hydrant zimewashinda. Yeye anakimbilia Drone.
Tuna magorofa mangapi ambayo yanaotaji drone? Na kwanini hayo magorofa wasitumie njia nyingine mbadala za kujinga na moto badala ya drone?
Kuzima moto sio kukinga moto.
Drone au ndege isiyo na rubani ikijengwa /ikuundwa kuzima moto kwenye sehemu korofi au majengo marefu ,ina uwezo mzuri na kwa usahihi .
Kutumia drone pia ni kumuepusha zimamoto binadamu na maangamizi.
Hapa Raisi Magufuli alifikilia kuwa Kange Lugola alishavuta mpunga,kitu ambacho hakikuwa sawa.
Nafikiri Magufuli aligundua baadae amedanganywa akampa Ukuu wa Mkoa Anangise.Hiyo yote ni kutokuwa na simile.
 
Majanga yote yaliyowahi kutokea hapa Tanzania hayaitaji drone. Mfano shule, nyumba za watu, masoko etc. Na mengi yamekubwa na changamoto za maji. Sasa kwa nini alikimbilia kununua drone za mabilioni badala ya kutumia hizo fedha kuweka hydrants na changamoto nyingine.
Drone haziokoi watu. Pamoja na kutumia drone bado utaitaji firefighters ili kuokoa watu!!
Majengo marefu wanaweza kuweka sprinkler system na kadhalika.
Europe na America pamoja kuwa na majengo marefu mengi lakini bado hawatumii drone.
 
Magari tuko nayo toka uhuru lakini eneo la moto tunaenda nayo bila maji, hizo drones si ingekua balaa duniani
 
Ndio alichofanya Bagamoyo port akaleta uongo wa hali ya juu same as aliposema drones za zimamoto ni za kupiga picha [emoji2][emoji2]
Mkataba wa bagamoyo uwekwe wazi tujue nani ni mkweli, sio kwa sababu hawezi kujibu ndio kila baya lake!
 
Huyu Kangi Lugoda ni bure kabisa! Tena anaudhi.
Hydrant zimewashinda. Yeye anakimbilia Drone.
Tuna magorofa mangapi ambayo yanaotaji drone? Na kwanini hayo magorofa wasitumie njia nyingine mbadala za kujinga na moto badala ya drone?
Watu wanabuy story za kijinga kwa sababu ya chuki tu kwa Mwendazake, kuna rationale gani ya kununua drone wakati distribution ya fire units ina discrepancy kubwa?
 
Niliangalia clips za world trade center sikuona drone, mwenye ushahidi wa hizi drone auweke hapa, na sio simulation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…