maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Nawaza endapo angekubali, Leo ingekua ni kelele oooh kaiingiza nchi kwenye hasara, pesa ya kununua drone bora angenunua magari ya zima moto na kujenga barabara.Kuzima moto sio kukinga moto.
Drone au ndege isiyo na rubani ikijengwa /ikuundwa kuzima moto kwenye sehemu korofi au majengo marefu ,ina uwezo mzuri na kwa usahihi .
Kutumia drone pia ni kumuepusha zimamoto binadamu na maangamizi.
Hapa Raisi Magufuli alifikilia kuwa Kange Lugola alishavuta mpunga,kitu ambacho hakikuwa sawa.
Nafikiri Magufuli aligundua baadae amedanganywa akampa Ukuu wa Mkoa Anangise.Hiyo yote ni kutokuwa na simile.
Watz tunaendeshwa sana na upepo,