Fitina: Nani katika hawa alimdanganya Dkt. Magufuli kuwa Drone za kuzimia moto ni Camera

Nawaza endapo angekubali, Leo ingekua ni kelele oooh kaiingiza nchi kwenye hasara, pesa ya kununua drone bora angenunua magari ya zima moto na kujenga barabara.
Watz tunaendeshwa sana na upepo,
 
Huyu Kangi Lugoda ni bure kabisa! Tena anaudhi.
Hydrant zimewashinda. Yeye anakimbilia Drone.
Tuna magorofa mangapi ambayo yanaotaji drone? Na kwanini hayo magorofa wasitumie njia nyingine mbadala za kujinga na moto badala ya drone?
Ameona kila mtu anabonyeza hapo, nae kaamua kutumia loop hole hiyohiyo kujisafisha,
In short tulikua tunapigwa
 

Moto Kule mlimani Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…