Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Kama ilivyo kawaida yake, Joseph Blatter, Rais wa FIFA amekuwa bingwa wa fitina za Uchaguzi na kufanikiwa mara zote alizogombea hapo kabla kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita alipofanikiwa kumzuia Bin Hamman. Katika uchaguzi wa mwaka huu anagombea na Prince Ali, na tayari kambi ya Ali ilishaanza kuzilalamikia fitina zake kwani Blatter kamtuma mpambe wake kwenda huko kuwashawishi watoe rushwa kwa kudai kuwa yeye ana majina 47 ya wapigakura.
Stay tuned
Stay tuned