Fitina za Sepp Blatter, Rais wa FIFA kuelekea uchaguzi wa ijumaa mei, 29

Fitina za Sepp Blatter, Rais wa FIFA kuelekea uchaguzi wa ijumaa mei, 29

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Kama ilivyo kawaida yake, Joseph Blatter, Rais wa FIFA amekuwa bingwa wa fitina za Uchaguzi na kufanikiwa mara zote alizogombea hapo kabla kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita alipofanikiwa kumzuia Bin Hamman. Katika uchaguzi wa mwaka huu anagombea na Prince Ali, na tayari kambi ya Ali ilishaanza kuzilalamikia fitina zake kwani Blatter kamtuma mpambe wake kwenda huko kuwashawishi watoe rushwa kwa kudai kuwa yeye ana majina 47 ya wapigakura.

Stay tuned
 
Ha haa hiki kizee hatari hakina tofauti na kizee flani hapa jf ni member faizafozy nacho kina fitina kweli. Blatter ameshasema haoni maisha ya kuheshimiwa huko uraiani kama hatakuwa na madaraka,!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom