Fitness and wellness

Naona uko obssesed sana na Cain...nikuulize swali nipime uelewa wako ktk UFC...kwa sasa niambie 3 best fighters in the world ni nani, ? Tumia kipimo cha Pound for Pound ki-apply kwnye light heavyweight na heavyweight mana hutakawia kuniambia ni conor mcregor na ronda rousey!
 
Nimeshaona ...ninazo UFC PPVs zote... so unataka kuniambia Cain alimuotea Brock Lesnar mara ya kwanza sio? Kama Cigano alivomuotea Cain? Mark Hunt anavyopigaga Walkaway KOs anaoteaga sio....

Lesnar hayupo kwenye level ya Cain kabisa.

Yani sielewi mtu unayesema unajua MMA vizuri unathubutu kusema eti fulani anaotea...

Wewe ndo hujui. Huna clue kabisa.

Cain keshathibitisha kuwa Junior alibahatisha tu.

Kwa nini nasema hivyo? Nasema hivyo kwa sababu tayari washapigana mara 3 na Cain kashinda mara mbili kati ya hizo tatu. Tena si kushinda tu....ni kwamba kashinda convincingly na decidedly.

Kwa hiyo hata nikijenga hoja kuwa Junior alibahatisha, facts zinani support.

Kama Junior hakubahatisha kwa nini katika fight ya 2 na ya 3 yeye Junior hakurudia alichokifanya kwenye fight ya kwanza?

Kwaiyo Rumbe anavyopiga KO anaotea sio??

Unaona sasa...context is everything and processing nuance is a skill, of which you lack.

Rumble keshapigana na nani mara 3?

General rule ni kua...."One Punch can Change everything".
Kuotea ni mpira huo...ndo tatizo la mashabiki wa mpira kuingia ktk fighting

Totally clueless.
 
Una uhakika gani gani kama striking yako ipo vizuri? Ama bench press ndo zinakufanya uamini ivo?
Mi naona we ni kama a bodybuilder tryin desperately to be an MMA fghter....
Oya mtafute huyo boya umpe makonde... Muongo Muongo sana huyo..

Mi naamini ukisimama nae unampasua dakika tu
 
Pound for pound ni Demetrious 'Mighty Mouse' Johnson.
 
DC namuelewa sana hasa alipokua Heavyweight...ni wrestler mzuri, sema unavyomuongelea Cain as if yupo vizuri sana...mbna huongelei alivopigwa na Fabricio??

Lesnar ni nani then...km sio mma fighter? Ama kisa yupo wwe? Cm punk kwa sasa je sio mma fighter?
 
Ata google huyo jamaa ni mbishi mbishi tu alafu wala hajuagi.. Unapoteza muda wako wewe
 
Pound for pound ni Demetrious 'Mighty Mouse' Johnson.
Unaona unavochanganya madesa?? Nimesema tumia pound for pound halafu apply kwenye light heavyweight na heavyweight....sasa huyo mighty mouse si yupo kwenye "midget division"?
Alafu nataka uniambie mawazo yako na sio rankings za ufc
 
DC namuelewa sana hasa alipokua Heavyweight...ni wrestler mzuri, sema unavyomuongelea Cain as if yupo vizuri sana...mbna huongelei alivopigwa na Fabricio??

Cain yupo vizuri. Na ndo maana nsubiri kwa hamu kuona rematch kati yake na Fabricio mwezi Disemba.

Hiyo fight ndo itakata mzizi wa fitna...manake inaonyesha Cain aliathiriwa na altitude kule Mexico city.

Lesnar ni nani then...km sio mma fighter? Ama kisa yupo wwe? Cm punk kwa sasa je sio mma fighter?

Hahaaaa...umeona kilichomtokea CM Punk juzi alipopigana na Mickey Gall?
 
Unaona unavochanganya madesa?? Nimesema tumia pound for pound halafu apply kwenye light heavyweight na heavyweight....sasa huyo mighty mouse si yupo kwenye "midget division"?
Alafu nataka uniambie mawazo yako na sio rankings za ufc

UFC wana ranking za nani ni best pound for pound.

Angalia hapa...nani namba 1 pound for pound? Hivi unajua hata maana ya pound for pound wewe?

POUND-FOR-POUND

1 Demetrious Johnson

2 Dominick Cruz

3 Daniel Cormier

4 Conor McGregor

5 Jose Aldo

6 Stipe Miocic

7 Eddie Alvarez

8 Joanna Jedrzejczyk

9 Tyron Woodley

10 Michael Bisping

11 Robbie Lawler

12 Luke Rockhold

13 Rafael Dos Anjos
 
Kaathiriwa na altitude wakati alikua hometown mexico city 3 weeks prior yo the fight ana train...ivi unachekigi zile countdown to ufc???
We jamaa bana...alipigwa very clear n convincing...kifupi cain mbovu mbovu afu mgonjwa! Pole mana ni your favorite fighter ila ukweli ndo huo
 
Kaathiriwa na altitude wakati alikua hometown mexico city 3 weeks prior yo the fight ana train...ivi unachekigi zile countdown to ufc???

Cain haishi Mexico city. Anaishi California.

We jamaa bana...alipigwa very clear n convincing...kifupi cain mbovu mbovu afu mgonjwa! Pole mana ni your favorite fighter ila ukweli ndo huo

Kwamba alipigwa hilo halina ubishi. Au nimebisha? Kama nimebisha nionyeshe nilipobisha.

Ndo maana nimesema nina hamu sana ya kuona outcome ya rematch ambayo itafanyika Vegas...kwenye altitude.

Kusoma na kuelewa nao ni ujuzi...ambao umeshaonyesha huna!
 
Keyboard warrior umeelewa swali kweli??
Nimekuuliza hiviii...narudia tena, wewe binafsi kwa unavoona wewe (forget about the official ufc rankings.)
Tumia kipimo cha pound for pound, ki-apply kwenye divisions za LIGHT heavyweaght na Heavyweight, halafu uniambie....3 best fighters in the world.
Unakuja kuniambia mighty mouse huyo andunje ni heavyweight sio??
 
Keyboard warrior umeelewa swali kweli??

MMAist wannabe....uelewa wangu huwezi kuufikia.

Kwanza, hujui hata maana ya pound for pound.

Pili, mimi binafsi pound for pound best fighter in the world ni Demetrious Johson.

Tatu, ambacho hujaelewa hapo ni nini?
 
We acha ubishi wa kijinga...inajulikana mexico city ni high altitude afu fighters wengi wanapenda kutrain kwenye high altitudes ndo mana cain aliwahi mexco city.....angalia fighters wa JACKSONWINK MMA wakina Bones wanavopenda kutrain juu ya milima....Alberque,* New Mexico.
Unaongea nn jombaa
 
MMAist wannabe....uelewa wangu huwezi kuufikia.

Kwanza, hujui hata maana ya pound for pound.

Pili, mimi binafsi pound for pound best fighter in the world ni Demetrious Johson.

Tatu, ambacho hujaelewa hapo ni nini?
Sasa nimekuambia hiviii best fighters kwenye light heavyweight na heavyweight...unaniambia huyo mighty mouse...unaona uelewa wako ulivo mdogo??
 
Daah sorry about that chief, Mungu aendelee kukusaidia urudi kwenye Hali yako ya awali, sasa nahis naanza kukuelewa kwanini unachukia vijana wenye mambio wenye altezza, subaru na muffler (sorry it's out of topic)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…