Fitness and wellness

Fitness and wellness

wataalam wanashauri kufanya tiba asilia,mfano colon,candida cleaning,hii itafanya digestion yako kuwa active so chakula chako kitakuwa kinakuwa digested kwa wakat,kufanya mzoezi tuu bila kubadili mfumo wako wa digestion ni kama adhabu,cku ukiacha tuu mazoez hata kidogo,bas unarudi hari yako ya awali,shida ya tuliowengi ni mfumo wetu wa ulaji,mfano unakula usiku saa tatu unategemea hicho chakula kitajisaga saa ngapi? ww mwaka mzima huna tabia hata ya kufunga hata kidogo,USHAURI,kula chakula kingi sana asubuh kama kiwe na matunda matunda na mboga nyingi,asubuh kula wastani,jioni kula kidogo na isiwe zaid ya saa moja jioni,lala kunywa maji mengi ! asubuh utaamka na njaa,ukiona hvo bas digestion yako itakua na uwezo wa ku digest chakula vizur hivyo chakula hakitarundikana mwilini kama fat....naukiweza walau kwa mwez mmoja unafunga mara 1,hutakuja kusikia ishu za kitambi wala hutajitesa na mazoez kisa upungue na pia nendeni maduka ya asili ya wahindi muulizie huduma ya colon,galbladder,candida cleaning, mazoez fanyeni tuimarisha miili ila mazoez hayapunguz tumbo kama solution yakudumu
 
wataalam wanashauri kufanya tiba asilia,mfano colon,candida cleaning,hii itafanya digestion yako kuwa active so chakula chako kitakuwa kinakuwa digested kwa wakat,kufanya mzoezi tuu bila kubadili mfumo wako wa digestion ni kama adhabu,cku ukiacha tuu mazoez hata kidogo,bas unarudi hari yako ya awali,shida ya tuliowengi ni mfumo wetu wa ulaji,mfano unakula usiku saa tatu unategemea hicho chakula kitajisaga saa ngapi? ww mwaka mzima huna tabia hata ya kufunga hata kidogo,USHAURI,kula chakula kingi sana asubuh kama kiwe na matunda matunda na mboga nyingi,mchana kula wastani,jioni kula kidogo na isiwe zaid ya saa moja jioni,lala kunywa maji mengi ! asubuh utaamka na njaa,ukiona hvo bas digestion yako itakua na uwezo wa ku digest chakula vizur hivyo chakula hakitarundikana mwilini kama fat....naukiweza walau kwa mwez mmoja unafunga mara 1,hutakuja kusikia ishu za kitambi wala hutajitesa na mazoez kisa upungue na pia nendeni maduka ya asili ya wahindi muulizie huduma ya colon,galbladder,candida cleaning, mazoez fanyeni tuimarisha miili ila mazoez hayapunguz tumbo kama solution yakudumu
mchana kula wastaansorry sio asubuh
 
Mwenye kujua mazoezi mepesi ya kunguza tumbo tu anisaidie.Uzito nadhani niko sawa.
 
Yup...mimi nafanya MMA....msisitizo kwenye Brazilian Jiu Jitsu na Muay Thai.
Great! Nimeanza kickboxing nina miezi kadhaa. Japo ninaendelea na mafunzo ila ninachoka haraka na sina nguvu sana. Unaweza kunishauri mazoezi gani niongezee kutengeneza muscles na flexibility?
 
Jana for first time nimekimbia mita 100 kwa sekunde 10 better than Usain Bolt wakuu 2020 naenda Olympic mwakani nitashiriki IAAF.
Mi huwa nakimbia sekunde13

Then napiga round uwanja wa riadha mara 10

Then najoin mazoezi ya viungo na wana

Nataka nianze gym this December
 
Mwenye kujua mazoezi mepesi ya kunguza tumbo tu anisaidie.Uzito nadhani niko sawa.
Tumbo haliwezi Kupungua kwa kufanya mazoezi ya Tumbo Same procedure Kukimbia kwa kazi, Pushup, high jumps, Na mazoezi ya tumbo yenyewe hapo ndo litapungua......
 
Naelekea zangu Uwanjani wakuu I am already an addict!
 
Tumbo haliwezi Kupungua kwa kufanya mazoezi ya Tumbo Same procedure Kukimbia kwa kazi, Pushup, high jumps, Na mazoezi ya tumbo yenyewe hapo ndo litapungua......
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
jamani mimi nipo underweight nahitaji niongezeke atleast nifike 55 naomba msaada nile nini na nifanye mazoezi gani ss hvi am 160cm tall ila na weigh 46kg
 
Habari wadau.

Napenda kufahamisha apps nzur ya android ambayo naweza kuitumia kupima distance nayokimbia wadau.
 
Kwanza nishukuru kwa Uzi huu mzuri ambao unawasaidia watu kuwa Timamu kiafya na kiakili!!!
Shida yangu ni terminokogies zilizotumika humu!!! Kidogo kwa mtu ambae ni mgeni upande wa Mazoezi kiukweli Haelewi mtu akisema mfano: Weightlifting,Gadget,Cardio na misamiati mingne kama hiyo!!! Tafadhali tunaomba ufafanuzi please!!!
 
Yafanye mazoezi yawe sehemu ya maisha yako kama vile kuoga au kupiga mswaki.

Unaweza ukakaa siku mbili au tatu bila kuoga au kupiga mswaki?
Ni kweli kabisa..watu wakianza kufanya mazoezi wanaanza kukuuliza..ooh nitakuwa kama wewe baada ya muda gani..sasa nakuwa naogopa kuwajibu kwamba nimekuwa hivyo nilivyo kwa kufanya mazoezi kama maisha yangu kwa miaka 20.
 
Aisee Kwa sasa nimeweza kukimbia hadi Mara 25 uwanja wa kukimbilia pia kwa sasa ninaweza kufanya Squats 250-300 kitu ambacho nime experience nimeshakua adicted **** yangu pia imekua ngumu kila nikichomoa dude condom nakuta imechanika mbele kwa kweli mazoezi yamenijenga sana.



Mimi kwa sasa nimehamia size 34 napenda kuvaa kadeti na mashati mwaka mzima ila ninatatizo moja naombeni members mnishauri mikono yangu midogo nataka kujaza hasa eneo la kuvalia saa nimepitia thread nzima sijaona watu wanaotaka kuongeza. Mikono ya kuvalia saa last time nimenunua saa ilibidi nipunguze mabinti walipata faida ya kutengeneza heleni na Cheni za Silva naomba mnisadie jamani
.
Piga push ups
 
Kwanza nishukuru kwa Uzi huu mzuri ambao unawasaidia watu kuwa Timamu kiafya na kiakili!!!
Shida yangu ni terminokogies zilizotumika humu!!! Kidogo kwa mtu ambae ni mgeni upande wa Mazoezi kiukweli Haelewi mtu akisema mfano: Weightlifting,Gadget,Cardio na misamiati mingne kama hiyo!!! Tafadhali tunaomba ufafanuzi please!!!
Mkuu gadget ni vifaa tuu vya kufanyia mazoezi

Cardio ni mazoezi yanayojumuisha kukimbia, jogging, kutembea ila yanatakiwa yawe kwa tempo kubwa yafanye moyo wako kwenda mbio mazoezi haya unashauriwa kufanya angalau Dakika 20-60

Weightlifting ni kubeba vitu vizito mitaani tunaita (Chuma)
 
Back
Top Bottom