sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Muone kwanza.....unaona nikilipata nitafaidi sana.Naulipati ng'o...tupinge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone kwanza.....unaona nikilipata nitafaidi sana.Naulipati ng'o...tupinge!
mchana kula wastaansorry sio asubuhwataalam wanashauri kufanya tiba asilia,mfano colon,candida cleaning,hii itafanya digestion yako kuwa active so chakula chako kitakuwa kinakuwa digested kwa wakat,kufanya mzoezi tuu bila kubadili mfumo wako wa digestion ni kama adhabu,cku ukiacha tuu mazoez hata kidogo,bas unarudi hari yako ya awali,shida ya tuliowengi ni mfumo wetu wa ulaji,mfano unakula usiku saa tatu unategemea hicho chakula kitajisaga saa ngapi? ww mwaka mzima huna tabia hata ya kufunga hata kidogo,USHAURI,kula chakula kingi sana asubuh kama kiwe na matunda matunda na mboga nyingi,mchana kula wastani,jioni kula kidogo na isiwe zaid ya saa moja jioni,lala kunywa maji mengi ! asubuh utaamka na njaa,ukiona hvo bas digestion yako itakua na uwezo wa ku digest chakula vizur hivyo chakula hakitarundikana mwilini kama fat....naukiweza walau kwa mwez mmoja unafunga mara 1,hutakuja kusikia ishu za kitambi wala hutajitesa na mazoez kisa upungue na pia nendeni maduka ya asili ya wahindi muulizie huduma ya colon,galbladder,candida cleaning, mazoez fanyeni tuimarisha miili ila mazoez hayapunguz tumbo kama solution yakudumu
Great! Nimeanza kickboxing nina miezi kadhaa. Japo ninaendelea na mafunzo ila ninachoka haraka na sina nguvu sana. Unaweza kunishauri mazoezi gani niongezee kutengeneza muscles na flexibility?Yup...mimi nafanya MMA....msisitizo kwenye Brazilian Jiu Jitsu na Muay Thai.
Thnxs chiefNike Training App
Mi huwa nakimbia sekunde13Jana for first time nimekimbia mita 100 kwa sekunde 10 better than Usain Bolt wakuu 2020 naenda Olympic mwakani nitashiriki IAAF.
Tumbo haliwezi Kupungua kwa kufanya mazoezi ya Tumbo Same procedure Kukimbia kwa kazi, Pushup, high jumps, Na mazoezi ya tumbo yenyewe hapo ndo litapungua......Mwenye kujua mazoezi mepesi ya kunguza tumbo tu anisaidie.Uzito nadhani niko sawa.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Tumbo haliwezi Kupungua kwa kufanya mazoezi ya Tumbo Same procedure Kukimbia kwa kazi, Pushup, high jumps, Na mazoezi ya tumbo yenyewe hapo ndo litapungua......
Ili uijue ID ha!ha!Kwa aliye mza,tukutane kwa mazoezi
Runtastic, map my run, map my walkHabari wadau.
Napenda kufahamisha apps nzur ya android ambayo naweza kuitumia kupima distance nayokimbia wadau.
Ni kweli kabisa..watu wakianza kufanya mazoezi wanaanza kukuuliza..ooh nitakuwa kama wewe baada ya muda gani..sasa nakuwa naogopa kuwajibu kwamba nimekuwa hivyo nilivyo kwa kufanya mazoezi kama maisha yangu kwa miaka 20.Yafanye mazoezi yawe sehemu ya maisha yako kama vile kuoga au kupiga mswaki.
Unaweza ukakaa siku mbili au tatu bila kuoga au kupiga mswaki?
Piga push upsAisee Kwa sasa nimeweza kukimbia hadi Mara 25 uwanja wa kukimbilia pia kwa sasa ninaweza kufanya Squats 250-300 kitu ambacho nime experience nimeshakua adicted **** yangu pia imekua ngumu kila nikichomoa dude condom nakuta imechanika mbele kwa kweli mazoezi yamenijenga sana.
Mimi kwa sasa nimehamia size 34 napenda kuvaa kadeti na mashati mwaka mzima ila ninatatizo moja naombeni members mnishauri mikono yangu midogo nataka kujaza hasa eneo la kuvalia saa nimepitia thread nzima sijaona watu wanaotaka kuongeza. Mikono ya kuvalia saa last time nimenunua saa ilibidi nipunguze mabinti walipata faida ya kutengeneza heleni na Cheni za Silva naomba mnisadie jamani.
Zinaimarisha eneo la chini la mwili hasa miguu na mapaja.squarts zinasaidia nn mkuu??
Mkuu gadget ni vifaa tuu vya kufanyia mazoeziKwanza nishukuru kwa Uzi huu mzuri ambao unawasaidia watu kuwa Timamu kiafya na kiakili!!!
Shida yangu ni terminokogies zilizotumika humu!!! Kidogo kwa mtu ambae ni mgeni upande wa Mazoezi kiukweli Haelewi mtu akisema mfano: Weightlifting,Gadget,Cardio na misamiati mingne kama hiyo!!! Tafadhali tunaomba ufafanuzi please!!!