Fitness and wellness

Najua Cain,DC wote wanaishi na kutrain A.K.A ipo California...iyo sio case tatizo unagugo sana ndo mana unajichanganya...
Mi napenda fighting toka kwenye damu ndo mana sihitaji gugo nafatilia nakumbuka naelewa
 
Huyo utabishana nae mpaka kesho... Akiona unamshinda ataanza kuandika vocabulary nyiiiiiiiiingi na kuanza kutukana..
Kumbe ndo tabia zake ngoja nimpotezee..afu anajifanya heavyweight...uyu atakua lightweight mana ndo wanaongeaga sana
 
We acha ubishi wa kijinga...

Cha ujinga nilichobisha kiko wapi?

inajulikana mexico city ni high altitude afu fighters wengi wanapenda kutrain kwenye high altitudes ndo mana cain aliwahi mexco city

Unasema Cain aliwahi kwenda Mexico city? Una uhakika?

Unajua Werdum alikuwepo huko kwa muda gani kabla Cain hajaenda?

Au unataka kunambia Cain ndo aliweka kambi kwa muda mrefu kumzidi Fabricio?

Siongei kwa kubahatisha. Soma hapo chini. Nani alitangulia na kukaa muda mrefu kuliko mwenzake?

Chanzo

.....angalia fighters wa JACKSONWINK MMA wakina Bones wanavopenda kutrain juu ya milima....Alberque,* New Mexico.
Unaongea nn jombaa

Kati ya Cain na Fabricio nani alipiga kambi ya muda mrefu Mexico city?
 
Kumbe ndo tabia zake ngoja nimpotezee..afu anajifanya heavyweight...uyu atakua lightweight mana ndo wanaongeaga sana
Kumbe we humjui.. Huyo ubishi ndio jadi yake.. Alafu sio kwamba anajua yeye zake ni gugo tu.. Hapo unaweza kuta hata kurusha ngumi hawezi ni kelele tu nyingi..
 
Najua Cain,DC wote wanaishi na kutrain A.K.A ipo California...iyo sio case tatizo unagugo sana ndo mana unajichanganya...
Mi napenda fighting toka kwenye damu ndo mana sihitaji gugo nafatilia nakumbuka naelewa

Umesema Mexico city ni hometown ya Cain: umekosea.

Umesema Cain alipiga kambi huko kwa wiki tatu: umekosea.

Ona ulichoandika

Kaathiriwa na altitude wakati alikua hometown mexico city 3 weeks prior yo the fight ana train...ivi unachekigi zile countdown to ufc???

Halafu unadai eti unafuatilia, unakumbuka, na unaelewa.

Unaelewa kitu gani kama hata facts ndogo ndogo zinakushinda?

Unachekesha wewe.
 
Two weeks ni very enough...no silly excuzes....kwani Anderson Silva alifight na DC kwa notice ya siku ngapi? Mbona hakulia lia?? Kua muda sijui nn
 
Two weeks ni very enough...no silly excuzes....kwani Anderson Silva alifight na DC kwa notice ya siku ngapi? Mbona hakulia lia?? Kua muda sijui nn
Again, you can't process nuance let alone comprehend what you read!

You are a waste of my time.

Deuces.
 
Cain ni Mexican-American hivo alivoenda kupigana mexico city ilichukuliwa kama homecoming!
Unaelewa lakini?
 
Nina kg 57 urefu 159...sio mnene mwembamba wastani ila nna tatizo mwili wangu umetepepeta kimtindo yaan nyama zinanicheza cheza nifanyaje mazoez gan mwili ukaze? angalizo.. sitaki mwili wangu upungue
cc Nyani Ngabu nipeni ushaurii wataalam.

Nashauri ufanye resistance training kama goal lako ni hilo. Mazoezi kama squats, planks, push ups, wall sit, lunges, pull ups na cardio. Zingatia diet na kunywa maji yakutosha.
 
kuna anayefanya contact/collision sports kama martial arts? Je unafanya mara ngapi kwa wiki? Na unafanya na mazoezi gani ya ziada?
Mkuu sina uzoefu wa Martial arts ngoja wadau wanaojua maswala hayo wakusaidie
 
Nina kilo 70 nimeanza diet, target nifike 65 ila dooh mazoez nashindwa kabisa nilifanya mara moja cku ya pili nikaamka mgonjwa kabisa. Huu uzi utakua msaada kwangu sana kwa kipindi hiki.
Diet itasaidia kama goal lako ni kupungua tu kilo5 sio nyingi ila nashauri ufanye mazoezi pia ili ufikie goal lako haraka na uweze kumaintain. Jitahidi kupush thru the pain bdae maumivu yataisha na utazoea.
 
Nimekupata mkuu, ntaleta feedback aftr one month.
 
Wakuu nataka kidogo niutengeneze mwili wangu uwe mkubwa na uliojengeka kimisuli, Nataka kufahamu vitu vya kimsingi ili nifanikishe hili...
Mkuu tumeongea kuhusu hilo kwa upana kwenye huu uzi ila kwa ufupi inabidi ufanye weightlifting na ule real food ili kujenga mwili. Bench/leg/shoulders press, squats, push ups, biceps curls nk. Vyakula kama wali, kuku, samaki, nyama, mayai na veggies hujenga mwili
 
Wakuu, salaam.

Hivi ni kweli wanawake wakimaintain figure, kuna baadhi ya viungo vya mwili huwa vinagoma kupungua ukubwa na matokea yake huongezeka zaidi ya mara mbili?

Unless ni biological condition kama leptin resistance, slow metabolism etc au kuna kitu mahala fulani hufanyi sawa. Tofauti na belly fat(kitambi) viungo vyote vya mwili vinaweza kuwa targeted na kuvifanya viwe vile utakavyo kwa mazoezi, kitambi chenyewe huisha taratibu pindi ufanyapo mazoezi ya viungo vingine.

Sehemu gani ya mwili imeongezeka ili nitoe ushauri specifically.
 
Kilo 57 duh lightweight eti, ongeza ongeza zifike ata 67....
hapana hizi zinanitosha mkuu..najisikia vizur nikiwa hivi...thanks anyway!
Nashauri ufanye resistance training kama goal lako ni hilo. Mazoezi kama squats, planks, push ups, wall sit, lunges, pull ups na cardio. Zingatia diet na kunywa maji yakutosha.
okey asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…