Fitness and wellness

Naona tayari unafanya vizuri running/jogging and jumping ni mazoezi mazuri sana cha kuongeza hapo ni push ups, pull ups na dips na weightlifting kama biceps curls kama una vifaa. Ukifanya hivyo mwili utaanza kuwa toned.

Huwa nakazia sana kwenye push ups na pull ups sababu ni mazoezi yenye faida sana na unaweza fanyia popote ila watu huwa hawafanyi hivyo, wapo tayari kujaribu kila kitu isipokuwa hayo mazoezi.

Mwili kupungua huku unaongeza uzito ina maana muscle mass (misuli) imeongezeke ikumbukwe misuli ni mizito kuliko mafuta. Sio mbaya unless kama hutaki hivyo ila kwa wanaume wengi naamini wangefurahia
 
Kuna video ya home workouts inakataa kuupload ni nzuri sana
 
Nmeipenda sna hii formula
Blessed [HASHTAG]#Spalulu[/HASHTAG]
 
[QUOTE="Bufa, post: 18904316, member: 75950ER=140807]Spalulu[/USER] Jaribu hizi workouts[/QUOTE]
Nimeziona ntazifanyia kazi thank you mingi mingi! Nitarudi nikupe feedback.
 


Mkuu hii point ya kula late ni muhimu kuzingatia cos ndio tatizo linapokuja kwenye suala la ku maintain. Halafu vyakula vyetu vingi ni vizito, (heavy in carbs) so tunapokula late halafu kulala, hata kama unafanya mazoezi inakuwa ngumu ku maintain. Sidhani kama kula usiku ni tatizo, tatizo ni kula late at night. Ni vizuri kula at least by 7pm, then baadae kama unasikia njaa ndio unakula kitu light and healthy kama matunda.
 
Mkuu Bufa nina swali hapo kwenye weightlifting kisha jogging je, haiwezi kufuta vile vitu vya mwanzoni ulivyofanya ukiwa gym?
 
Mkuu Bufa nina swali hapo kwenye weightlifting kisha jogging je, haiwezi kufuta vile vitu vya mwanzoni ulivyofanya ukiwa gym?

Mimi sio Bufa lakini naomba nikuulize?

Unauliza kuhusu kufuta nini?
 
Mimi sio Bufa lakini naomba nikuulize?

Unauliza kuhusu kufuta nini?
Kufuta yale mazoezi ambayo umeshafanya kwa mfano labda nilokuwa natrain biceps nikamaliza hivyo nikienda jogging nikwamba ni kama naenda kunyoosha muscles vile. Ndio nilikuwa nataka kufahamu kuwa hakuna tatizo hapo?
 
Kufuta yale mazoezi ambayo umeshafanya kwa mfano labda nilokuwa natrain biceps nikamaliza hivyo nikienda jogging nikwamba ni kama naenda kunyoosha muscles vile. Ndio nilikuwa nataka kufahamu kuwa hakuna tatizo hapo?

Oh hahaa...hapana. Hufuti chochote hapo.

Jua kuwa wakati ukiwa unafanya mazoezi unakuwa hujengi chochote bali unakuwa unabomoa.

Hivyo, wakati ukiwa unapiga biceps curls kwa mfano, hapo unakuwa hujengi. Unakuwa unabomoa muscle cells na ndo maana baada ya masaa kadhaa [24-48] unaanza kusikia maumivu [DOMS].

Ujenzi unafanyika ukiwa umepumzika na kwenye msosi. Na hapo kwenye msosi ni lazima ule vyakula vinavyojega, yaani vyenye protini nyingi.

Hivyo mambo ya muhimu sana kuzingatia ni chakula na mapumziko baada ya mazoezi.

Resting is gaining.
 
Nashukuru sana mkuu Nyani Ngabu nimekuelewa vyema. Mungu akubariki sana.
 
Jitahidi tu kula vizuri masaa ya mchana, usiku tumia matunda zaidi. Jaribu kutumia formula yako kwa mwezi mmoja na yangu mwezi mwingine na ona ipi inafanya kazi vizuri zaidi. Wengi tunapenda sana mlo wa usiku. Na huo ndo unapikwa with all compilations. Laiti tungebadilisha na kuupeleka asbh! Miili yetu ingekuwa na ideal weights
 
Mkuu,mm soezi la 'PULL UP' linanishinda sana kila nikijitahid naenda mbili au 3 tena kwa mbinde mnoo. Sasahivi natimiza mwezi sasa na kila siku lazma nipige tizi hilo ila hakuna mabadiliko yoyote.

Naomba kama kuna tekniki ya kuniwezesha kulimudu zoez hilo unisaidie mkuu kuijua
 
Unaweza push ups?
Sent from my Pixel XL using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…