Fitness and wellness

Pole sana Mkuu, Mwenyezimungu atakusaidia!
Pole sana Mkuu, Mungu azidi kukutia nguvu.
Mungu mkubwa....nimerudi kimazoezi kama zamani. Na kwa kuhakikisha niko vizuri Jumapili 14/10/2018 nimeshiriki na kumaliza Half Marathon(21.5km). Ukiamua unaweza.
 
mimi mazingira ninayoishi siwezi kufanya mazoezi nje hivyo nakimbia step za hapo hapo (kama kwenye treadmill) kwa dk15 then push ups na squats, Je hii itanisaidia kua fit (pumzi) ? maana ndo nimeanza kama wiki
 
Itasaidia sana mkuu, hayo unayofanya ndo basics za mazoezi na kila zoezi counts, aidha zingatia diet pia.
 
Pole.
KULA MARA 3 KUTWA ILA FANYA ZOEZI HILI TEMBEA NUSU SAA HARAKA HARAKA baada ya mwezi hutaona kimbi Wala minyama uzembe
 
Wapi naeza pata whey protein
 
Wapi naeza pata whey protein

Sijui upo wapi mkuu ila cha muhimu ni misosi kuliko supps, kula vyakula vyenye protein kama mayai, nyama na karanga.
 
Mkuu kama itawezekana,naomba unisaidie ratiba ya kula kwa wiki nzima na aina ya vyakula kwa mwanamazoez aliyekusudia kujenga mwili.

Wengi wetu tunafeli kwnye kujua mda gan na mda gan natakiwa nile na aina gan ya chakula natakiwa nile kwa wiki nzima.
Sijui upo wapi mkuu ila cha muhimu ni misosi kuliko supps, kula vyakula vyenye protein kama mayai, nyama na karanga.
 
Hapa naona wote mnaruka sarakasi tuu...

Weight loss na pamoja na kuondoa kabisa belly fat ni swala la kucheza na Hormone... Ukiweza kufanya udhibiti wa homone hizi mbili ya INSULIN NA CORTISOL basi Uta-loose weight na kuondoa kitambi na manyama uzembe kabisa

Ahsanta
 
unadhibiti vipi?

usiniambie kwa kumeza inhibitor zake
 
Tell us more
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mna 5kg zinanisumbua kutoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhibiti vipi hizo hormone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…