Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Yap! Push ups napiga had kumi mfululizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap! Push ups napiga had kumi mfululizo
Yap! Push ups napiga had kumi mfululizo
Asante mkuu kwa ushauriKwa watu wengi pull ups ni ngumu kuliko push ups, ningekushauri ukazane na push ups zaidi Hadi ufike about 30reps per set nguvu za mikono ziongezeke ndo ujaribu pull ups.
Sent from my Pixel XL using JamiiForums mobile app
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Pole sana Mkuu, Mwenyezimungu atakusaidia!
Mungu mkubwa....nimerudi kimazoezi kama zamani. Na kwa kuhakikisha niko vizuri Jumapili 14/10/2018 nimeshiriki na kumaliza Half Marathon(21.5km). Ukiamua unaweza.Pole sana Mkuu, Mungu azidi kukutia nguvu.
mimi mazingira ninayoishi siwezi kufanya mazoezi nje hivyo nakimbia step za hapo hapo (kama kwenye treadmill) kwa dk15 then push ups na squats, Je hii itanisaidia kua fit (pumzi) ? maana ndo nimeanza kama wiki
Ahahaha...hilo nawaachia wengine.
Ila uongo mbaya gym kuna totoz kali bana.
Pole.Mimi nina 175cm nina kg 76 natamani sana kupungua nifike 70 ila inashindikana, nakula mara moja kwa siku mchana na usiku nakula matunda au greens, sinywi bia huwa natumia pombe kali ila mara moja moja, inshort kwenye kula nina nidhamu, kukimbia nashindwa sababu nakosa company, mwili wangu ni mwepesi yaani sijaludhikana nyama wala sina tumbo mpaka sometimes nawaza labda ni u-giant maana baba yangu na mama wote ni warefu. Msaada tafadhali.
Wapi naeza pata whey proteinSalam,
Kama title inavyojieleza huu uzi utakuwa wa kuelimishana na kushauriana juu ya fitness and healthy living. I'll put my two cents in naamini wadau wataendeleza ili watu wenye goals tofauti tofauti waweze kupata kitu.
Goal kuu la watu walio wengi ni kupunguza uzito (weight loss) lakini pia wapo wanaotaka kujenga mwili (bodybuilding), wapo wanaotaka kupunguza kitambi tu (burning bellyfat) nk. Wote wataguswa katika uzi huu
Aidha tutajadili meal plans, supplements, mazoezi, apps & gadgets za kukusaidia katika safari ya healthy living.
Kwa ufupi formula mama ya healthy lifestyle ni Eat clean train dirty.
Kupunguza uzito (weight loss)
Cardio exercises kama running, jogging, swimming, biking, soccer ni mazoezi mazuri sana katika kusaidia kupunguza uzito na kuondoa kitambi. Aidha weightlifting ni bora zaidi kwa weight loss kuliko hata cardio. Mtu afanyae weightlifting zaidi na cardio kidogo atakuwa in good shape haraka kuliko yule anaefanya cardio pekee. Kwa wale wanaoweza kwenda gym ningeshauri katika saa moja unalotumia gym fanya weightlifting for 45mins na dakika 15 za mwisho fanya cardio. Kwa wale wasioenda gym ni sawa pia unaweza kufanya mazoezi nyumbani kama push ups, pull ups na kukimbia nje kidogo.
Kama goal lako ni kupunguza uzito inabidi uzingatie vitu unavyokula. Vyakula vyenye mafuta na sukari kama chips, soda inabidi upunguze sana. Binafsi sio muumini wa "usile kabisa chips" ila inabidi upunguze sana na vyakula vingine vyote vyenye sukari na mafuta bila kusahau maziwa. Maziwa yana fat kubwa inabidi kuyaacha au kunywa maziwa yenye less fat kama 2% milk au alternatives za maziwa kama almond milk, soy milk, cashew milk. Veggies na matunda inabidi viongezeke katika diet yako huku kiasi cha chakula kikipungua ili uweze kufikia goal lako. Usisahau kunywa maji ya kutosha
Bodybuilding
Bodybuilding is life. Weightlifting ni dawa mujarabu ya kuongeza au kupunguza mwili inategemeana na goal lako. Ninaposema bodybuilding siongelei wale watu wakubwa naongelea watu wa kawaida tu wanaofanya bodybuilding kujiweka sawa mfano mzuri msanii Dayamondi.
Kwa kufanya weightlifting unaweza ku-target part ya mwili na kuifanya iwe defined zaidi kama biceps, triceps, back, shoulders, chest, calves, quads, booty etc. Weightlifting ina burn more calories hivyo kwa mtu ambaye anataka kupungua basi hii ndiyo njia bora na kwa yule anayetaka kuongezeka na kuwa in shape basi itabidi ale zaidi ila vyakula vyenye kujenga mwili.
Mazoezi kama kitu kingine chochote yanahitaji nidhamu na uvumilivu wa hali ya juu siyo kwamba utabadilika overnight. Nigeshauri mtu afanye mazoezi at least siku 4 za week na kama ukiweza kufanya 5 basi more power to you ila isiwe siku zote saba sababu mwili unahitaji muda wa kurecover. Speed ya maendeleo yako itategemea na juhudi zako ila kwahakika yataka uvumilivu. Faida za mazoezi kila mtu anazijua sihitaji kuzijadili ukiachilia mbali ile ya kuonekana sexy mbele ya kioo 🙂
Supplements
Binafsi naamini katika supplements tatu tu; whey protein, fish oil na multivitamins. Haijalishi goli lako ni nini unahitaji protein ya kutosha kila siku, ni vyema kama utakula vyakula vyenye protein ya kutosha kila siku kama mayai, kuku, nyama, samaki, maziwa(bodybuilders) nk. Kama hupati protein ya kutosha basi protein supp inaweza kuwa ya msaada kwako zaidi whey protein ina amino acids kwa kiwango kikubwa ambazo zinahitajika sana katika recovering process. Fish oil ni mafuta ya samaki nayo ni muhimu sana kama unadhani huli sea foods kwa kiwango cha kutosha basi si mbaya ukatumia, pia fish oil huboresha ngozi na nywele. Multivitamins ni mchanganyiko wa vitamins mbali mbali ambazo zote zipo katika vyakula ila hizi ni extra push kwa wale ambao hawapati za kutosha kwenye mlo wa kila siku. Kama unakula vizuri veggies, matunda, samaki, nyama, kuku, mayai nk sio lazima kutumia supplements. Usisahau kunywa maji ya kutosha kila siku
Apps&gadgets
Ni ulimwengu wa technology sio basi kuna gadgets zipo ili kukusaidia katika safari yako ya fitness and wellness. Pedometer ni kifaa kinachohesabu steps zako pindi ukimbiapo na kukujulisha umekimbia umbali gani kwa muga gani na heart rate. Kumekuwepo na malalamiko kuhusu accuracy ya pedometer nyingi
App kama Fitness Buddy unaweza ipata bure play store inatoa muongozo wa jinsi ya kufanya mazoezi mbali mbali. Ni nzuri na rahisi sana kutumia
Pages
Kuna hizi pages Instagram za trainers na watu wengine wa kawaida tu ila wanatoa motisha na kuonyesha jinsi yakufanya mazoezi mbali mbali si mbaya kama ukazipitia pia; DoviesFitness Worldwide (@doviesfitness) • Instagram photos and videos ,
TanzaniaStreetsWorkouts (@tanzaniastreetsworkouts) • Instagram photos and videos ,
Marco [emoji810]Online Fitness Coach (@runandlift) • Instagram photos and videos ,
@workoutroutine • Instagram photos and videos ,
FitnessBunnie (@sbahle_mpisane) • Instagram photos and videos
Nakaribisha nyongeza, ushauri, maswali. Good luck
View attachment 394528 View attachment 394529 View attachment 394530 View attachment 394531 View attachment 394528
Sijui upo wapi mkuu ila cha muhimu ni misosi kuliko supps, kula vyakula vyenye protein kama mayai, nyama na karanga.
unadhibiti vipi?Hapa naona wote mnaruka sarakasi tuu...
Weight loss na pamoja na kuondoa kabisa belly fat ni swala la kucheza na Hormone... Ukiweza kufanya udhibiti wa homone hizi mbili ya INSULIN NA CORTISOL basi Uta-loose weight na kuondoa kitambi na manyama uzembe kabisa
Ahsanta
Hapa naona wote mnaruka sarakasi tuu...
Weight loss na pamoja na kuondoa kabisa belly fat ni swala la kucheza na Hormone... Ukiweza kufanya udhibiti wa homone hizi mbili ya INSULIN NA CORTISOL basi Uta-loose weight na kuondoa kitambi na manyama uzembe kabisa
Ahsanta
Hapa naona wote mnaruka sarakasi tuu...
Weight loss na pamoja na kuondoa kabisa belly fat ni swala la kucheza na Hormone... Ukiweza kufanya udhibiti wa homone hizi mbili ya INSULIN NA CORTISOL basi Uta-loose weight na kuondoa kitambi na manyama uzembe kabisa
Ahsanta
Unadhibiti vipi hizo hormone?Hapa naona wote mnaruka sarakasi tuu...
Weight loss na pamoja na kuondoa kabisa belly fat ni swala la kucheza na Hormone... Ukiweza kufanya udhibiti wa homone hizi mbili ya INSULIN NA CORTISOL basi Uta-loose weight na kuondoa kitambi na manyama uzembe kabisa
Ahsanta