Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By the way....Hakuna fitter aliyekamilika anayeweza kuchukua mshahara wa 600k.
Nakuhakikishia, ukimpata wa kumlipa laki sita njoo unipige mawe.
Kuna kampuni pale nyarugusu Geita nao wanatafuta fundi, wao wanatoa 750,000. Hawajawahi kupata hadi kesho.
Too young in the game? Which game?Let's start the game...
Fitter ni nani??
Aliekamilika anajua nini??
Ambae hajakamilika anajua nini??
Fitter, Fitter Mechanics na Mechanical Fitter wanatofautiana wapi??
Ukiniambia Nyalugusu, Nyaluyeye, Nyalwanzaja, Nyakitonto, Nyakagwe na maeneo kama hayo... naona kama you are too young in the game...😊
Mimi sio Junior, mtoto wangu ndio Junior.By the way....
Millwright/ Mechanical Tools and Maintenance, tunamlipa kuanzia 1,000,000 akiwa hana uzowefu.
Karibu kwa swali lingine tafadhali junior...😊
Watunkama Hawa wnakuwa wamesomea course Gani?Hakuna fitter aliyekamilika anayeweza kuchukua mshahara wa 600k.
Nakuhakikishia, ukimpata wa kumlipa laki sita njoo unipige mawe.
Kuna kampuni pale nyarugusu Geita nao wanatafuta fundi, wao wanatoa 750,000. Hawajawahi kupata hadi kesho.
Kama amesoma vyuo vya level ya diploma au degree, fani inaitwa mechanical engineering.Watunkama Hawa wnakuwa wamesomea course Gani?
Kunavyuo vya ngazi ya VETA vya private wanafundisha hizi kitu.kama unavijua naomba unitajie tafafhaliKama amesoma vyuo vya level ya diploma au degree, fani inaitwa mechanical engineering.
Kama ni vyuo vya VETA, inaitwa Fitter Mechanics.
Kama haujui hujui tu.Too young in the game? Which game?
I ain't in any game.
Fitter, fitter mechanics and mechanical fitter all mean the same.
Kazi yao kubwa ni kwenye lathe machine.
Yeah, inawezekana kweli sijui. Siyo rahisi kujua kila kitu.Kama haujui hujui tu.
Hakuna kitu inaitwa Lathe Machine.
The only thing najua ni Lathe, na mtaalamu wa Lathe tunamuita Machinis ambae kazi yake kubwa ni uchongaji ama utengenezaji wa vipuri
Nikutajie nini? Vyuo vya VETA?Kunavyuo vya ngazi ya VETA vya private wanafundisha hizi kitu.kama unavijua naomba unitajie tafafhali