Fiver na upwork

Nina akaunti Upwork na mapont ya kutosha ila sijawahi kuwa nayo serious
UP WORK pananipa uzoefu wa kwamba sio pa rahisi kihivyo, maana nilipojiunga nilitengeneza profile ambayo nahisi ni nzuri kwa wanaoanza, nikatuma maombi kadhaa (7+). Ila mpaka sasa hata visiter ni changamoto.
Acha niendelee kukomaa kote, fiverr na LinkedIn ni kuzuri zaidi kuliko freelancer na upwork.
LinkedIn nimetumiwa jumbe na ma HR, Supervisors, na managers wa makampuni, na connect na kupokea request za ku connect na watu kila siku, fiverr nimeweka gig jana nimepokea zaidi ya jumbe tano.
 
Fiverr hawaruhusu kuwa na account mbili. Ukigundulika utapigwa na kitu kizito make account hiyo Moja unaweza kuweka gig/service 7 kama wewe ni new seller pia account hiyo hiyo unaweza kuwa buyer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…