Mfipa Origino
Member
- Apr 25, 2016
- 78
- 43
UP WORK pananipa uzoefu wa kwamba sio pa rahisi kihivyo, maana nilipojiunga nilitengeneza profile ambayo nahisi ni nzuri kwa wanaoanza, nikatuma maombi kadhaa (7+). Ila mpaka sasa hata visiter ni changamoto.Nina akaunti Upwork na mapont ya kutosha ila sijawahi kuwa nayo serious
Acha niendelee kukomaa kote, fiverr na LinkedIn ni kuzuri zaidi kuliko freelancer na upwork.
LinkedIn nimetumiwa jumbe na ma HR, Supervisors, na managers wa makampuni, na connect na kupokea request za ku connect na watu kila siku, fiverr nimeweka gig jana nimepokea zaidi ya jumbe tano.