Fiverr & Upwork: Je, naweza kutengeneza account rapa za kununua na kujilipa huduma zangu na kujipigia promo kwenye reviews ili nipate michongo zaidi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.

Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina.

Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti yenye account iayojitegemea
 
seems like a lot of work ila hapo nahis reviews zisitokee nchi moja, tutatumia VPN au itakuaje ila naona kama Ngumu ivi?... ila sio ndio haiwezekan yet
 
Everything is possible ni vile akijipanga anaweza make vile alivyotaka kwa kucheza na akili zao , ila inahitaji tafiti ya muda mrefu kujua how system works
 
Nadhani ni Bora ukatafuta marafiki/washkaji tofauti tofauti wakafanya ivo. Kuliko kufanya wewe.
 
Shida inakuja itabidi uwape pesa hao washikaji maana hawana shida na gig (huduma unayoitoa) and kumbuka atakuwa anapoteza 20% kwa fiverr ya kila account fake anayofanya payment

Niko naanda business plans and proposals kwa fiverr sipati clients bado natafuta njia kama huyo jamaa hapo
 
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.

Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina.

Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti yenye account iayojitegemea
Huenda ikawork kwa fiverr sina la kukushauri sana ila kwa upwork naamini zaidi katika kumshawishi client kwenye proposal.
 
Back
Top Bottom