sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Everything is possible ni vile akijipanga anaweza make vile alivyotaka kwa kucheza na akili zao , ila inahitaji tafiti ya muda mrefu kujua how system worksseems like a lot of work ila hapo nahis reviews zisitokee nchi moja, tutatumia VPN au itakuaje ila naona kama Ngumu ivi?... ila sio ndio haiwezekan yet
Shida inakuja itabidi uwape pesa hao washikaji maana hawana shida na gig (huduma unayoitoa) and kumbuka atakuwa anapoteza 20% kwa fiverr ya kila account fake anayofanya paymentNadhani ni Bora ukatafuta marafiki/washkaji tofauti tofauti wakafanya ivo. Kuliko kufanya wewe.
Huenda ikawork kwa fiverr sina la kukushauri sana ila kwa upwork naamini zaidi katika kumshawishi client kwenye proposal.Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.
Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba natoa huduma nzuri ili nijenge jina.
Ntakuwa nacheza na Ip address tofauti kwa kila browser tofauti yenye account iayojitegemea