Fix gani kubwa umewai pigwa 2020

Fix gani kubwa umewai pigwa 2020

Eizyek

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
800
Reaction score
2,773
Merry Christmas and happy new year

Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito wangu nilipagawa sana maana nilikuwa sijajipanga ila mwisho wa siku alikuwa ananidanganya aikuwa kweli
 
KINACHONIPA MASHAKA NI KUHUSU SUALA LA SIMBA KAMA WATAPITA AU LAA
 
Tuliambiwa February mwaka huu Kipande cha Dar-Moro tutaanza kutumia treni ya mwendo kasi, fix kali kabisa kutokea kwa mwaka huu
 
Merry Christmas and happy new year

Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito wangu nilipagawa sana maana nilikuwa sijajipanga ila mwisho wa siku alikuwa ananidanganya aikuwa kweli
Nilidanganywa kijiji changu kitapewa milioni 50 mpaka sasa umeyeyuka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaaa...yaani hilo neno fix mimi nilisoma kama Forex hahaaaaaaaaa
 
Madee ni Rais wa Manzese...

Sugu ni Rais wa Mbeya...

Diamond anamiliki wasafi...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom