Wanga nuksi sana kitaani huku. Mwambie ziro akomae tuHadi siku ya mwisho full kukomaa ila wanga wengi kitaani
Hahahaaaa..... Uncle Magu nae kakaza kwenye pool table vijana wakafanye kazi.Kafulia mbaya hawezi kurudi...anasingizia machafuko wakati siku hizi anavaa ndala badala ya raba....
Ndo manake. Sasa hizo hasira za ziro zikichukua mwaka mzima je?Wanga ni kuwapotezea tu...Ziro hashauriki ht kidogo labda hadi hasira zipungue
Kidume hakiwezi kuna na hasira mwaka.....Tatizo haitakiwi kuamsha hasira za MTU...Ndo manake. Sasa hizo hasira za ziro zikichukua mwaka mzima je?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] angalia asije kukupiga bisibisi ya shingo bure ooh. ..Kidume hakiwezi kuna na hasira mwaka.....Tatizo haitakiwi kuamsha hasira za MTU...
People with kiherehere kila ishu wapo mstari wa mbele....
.sasa haitakiwi kiherehere litazuka timbwili bure
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] angalia asije kukupiga bisibisi ya shingo bure ooh. ..
Tatizo ziro alikuwa na mbwembwe nyingi
Naona walikuwa wanaishi kama kambare hahahahaha. Bora wamevunjiwa tu
Hiyo nyumba hapo jirani ndo kilikuwa kibanda chao enzi hizo kabla ya kuvunjwa na gavamenti
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] " [emoji119]Inakuhusu......
Na we nenda OUTBOX fasta...
Nini maana ya Chit chat? Na inakatazwa kureply meseji km MTU ana post Mara kwa mara ?
Au server za JF zipo sebuleni kwenu kwahiyo tunajaza server zenu?
Asante kwa ushauri
Tunamalizia kufanya usafi mtaani
Ama kweli wewe ni Bitoz, unaoga kisha uje kuchafuka na mavumbi!Nolisahau....ngoja na mimi nikaoge