Fix za Town part 2 !!!

Fix za Town part 2 !!!

Ndo manake. Sasa hizo hasira za ziro zikichukua mwaka mzima je?
Kidume hakiwezi kuna na hasira mwaka.....Tatizo haitakiwi kuamsha hasira za MTU...

People with kiherehere kila ishu wapo mstari wa mbele....
.sasa haitakiwi kiherehere litazuka timbwili bure
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] angalia asije kukupiga bisibisi ya shingo bure ooh. ..

Tatizo ziro alikuwa na mbwembwe nyingi
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] angalia asije kukupiga bisibisi ya shingo bure ooh. ..

Tatizo ziro alikuwa na mbwembwe nyingi
df4fc2b037996ffcc946e30d50da81ac.jpg

Hiyo nyumba hapo jirani ndo kilikuwa kibanda chao enzi hizo kabla ya kuvunjwa na gavamenti
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Inakuhusu......
Na we nenda OUTBOX fasta...
Nini maana ya Chit chat? Na inakatazwa kureply meseji km MTU ana post Mara kwa mara ?
Au server za JF zipo sebuleni kwenu kwahiyo tunajaza server zenu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] " [emoji119]
 
Back
Top Bottom