Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ulivyojisilibaHujaona picha angu hapo nipo kichakani nimefanya usafi na kuchafuka hadi uso sasa wenzangu siwaoni...kumbe bado mnang'oa visiki
Hahahaaa, jamaa kawa mdogo kama piliton!
Na kwako piaNawatakia Pasaka njema....
Atashindia mihogo tuUswaz harufu ya pilau km pafyumu lakini kwa akina Ziro kimya tu...
Hii ndo Tanzania![]()
Full stress......
Hahahaha sugu mpaka vidole vinapindaMaisha bora kwa kila mfalme(kiongzi)
Kapuku kalime upate sugu mikononi km nyani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tumewazoea hao wala hawatupi tabuKilimo kokiwashinda wanaanza majungu " nyinyi wanaume wa Dar"
Ziro ni shiiida
Aaah wapi......Kafungiwa ndani tena
Nasikia Ziro kaenda na mvuaZiro ni shiiida
Zikiisha tukamtafuteNasikia Ziro kaenda na mvua