Hii [emoji115] nimeweka 10,000,000 calculation yake ndo hiyo kama mtu ataweka kwa mwaka mmoja.Nimefanikiwa kuingia online na kufanya calculation ...
.
Nimepata mwanga sasa .View attachment 1762788
Coin zipi uniuzie mieHaha mwache mwenzio.
Ninazo zenye thamani ya 0.95B sina mnunuzi
Weka link mzee nione uraratibu waoNimefanikiwa kuingia online na kufanya calculation ...
.
Nimepata mwanga sasa .View attachment 1762788
weka link mzee nione uraratibu wao
Hiyo hela bola ubeti tuu mpe yule bingwa wa kubeti Tip master mkasainishane mkataba kabisa utapiga mpunga sana hahahaaaaaa ila uwe na imani sasa.Habari wakuu,
Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank,
Nimeskia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year
Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi
Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka
Asanteni