Fixed account NMB Tanzania

Fixed account NMB Tanzania

Habari wakuu,

Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank,

Nimeskia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year

Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi

Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka

Asanteni
Hiyo hela bola ubeti tuu mpe yule bingwa wa kubeti Tip master mkasainishane mkataba kabisa utapiga mpunga sana hahahaaaaaa ila uwe na imani sasa.
 
Back
Top Bottom