Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kuna TWO TYPES WAYS...thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.
Asante sana kwa darasa. Kama uko kwenye sekta ya bank au una uelewa naomba kujua yafuatayo:BANK ina ACCOUNTS aina KUU tatu....
a. SAVING ACCOUNTS
b. INVESTMENT ACCOUNTS
c. PERSONAL (DAILY USAGE) ACCOUNTS
1. Ukiwa unataka kuwa unaweka pesa Mara kwa mara, fungua SAVING ACCOUNT .. Mfano; NMB huitwa BONUS ACCOUNT.
Accrued cash hupata return/interest QUARTERLY.
2. Ukiwa unataka kufungua INVESTMENT ACCOUNT (kama hiyo Fixed Account) ambayo itakua inarudisha return yako kwenye PERSONAL ACCOUNT Fungua INVESTMENT ACCOUNT yenye SIFA HIZO, Mfano; NMB huitwa FLEXI ACCOUNT.
3. Kulingana na hiyo No. 02 then INVESTMENT ACCOUNTS zipo za aina Mbili..
i. Zenye kurudisha RETURN kila mwezi huku PRINCIPAL ikiendelea kuzalisha RETURN kulingana na INTEREST na TIME FOR CONTRACT.
ii. Zile ambazo unapewa RETURN na PRINCIPAL contract iki MATURE...
#ASANTE
#YNWA
Nenda NMB mkuu at least wana riba kubwa kidogo 9.5%. Benki nyingine ribs zao zipo chini sana. Ila usitegemee kuwa milionea kwa kufungua fixed account, riba ni kiduchu sana. Fanya biashara usiogope!thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.
Not true, utapokea gawio pindi muda ukifika, fixed deposit utaona faida yake ukiweza fix 100m or so coz faida yake kimsingi ni less than 10%KWELI NA KILA MWEZI UTAKUWA UNAPOKEA GAWIO LAKO A.K.A FAIDA YAKO KUTOKA KWENYE FIXED AKAUNTI.
Yeah, Time Value for MoneyAcha ujinga, kuficha bank hela ni umama, ukipata boom njoo tukushauri namna ya kuzitumbua! Ukifa na boda boda hela yako itapotea!
......... (From above).....Not true, utapokea gawio pindi muda ukifika, fixed deposit utaona faida yake ukiweza fix 100m or so coz faida yake kimsingi ni less than 10%
Kuweka pesa ni BANK Kwenye FIXED Account ni moja ya INVESTMENT DECISION for the FUTURE CONSUMPTION.Acha ujinga, kuficha bank hela ni umama, ukipata boom njoo tukushauri namna ya kuzitumbua! Ukifa na boda boda hela yako itapotea!
interest rate inayo YIELD RETURN hutofautiana/hutegemea na....Asante sana kwa darasa. Kama uko kwenye sekta ya bank au una uelewa naomba kujua yafuatayo:
1. Je kwenye bank kama hii ya NMB nikiweka sh milioni 500 na mkataba wangu uwe ni kuwachukua return kila mwezi, naweza kulipwa return ya sh ngapi kila mwezi?
2. Hizo hizo sh milioni 500 niziweke kwa kipindi cha mwaka nitalipwa return ya sh ngapi baada ya mwaka?
Mkuu naona upo vizuri financial management mahesabu yake ninoma na ni watu wachache wanajua ivi vitu mambo ya time value of moneyinterest rate inayo YIELD RETURN hutofautiana/hutegemea na....
1. Time for contract
2. Amount of principal
3. Interest value offered by bank
Ila pia interest of the bank hutegemea na ECONOMIC CONDITION of the COUNTRY during the PERIOD OF SETTING THE INTEREST RATE.
Nakushauri TEMBELEA MILANGO YA BANK waombe ile CHART OF INTEREST OFFERING.. Then pigs hesabu na usisahau hizi HESABU.....
1. FUTURE VALUE CALCULATION
FV = PV(1+r)^n
2. INTEREST
I = PRT/100
Umeshapata hilo boom au unawakika utapata??thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.
Ahsante mkuu, kuna watu wanabisha tu ilimradi na wao waonekane wanajua!......... (From above).....
2. Ukiwa unataka kufungua INVESTMENT ACCOUNT (kama hiyo Fixed Account) ambayo itakua inarudisha return yako kwenye PERSONAL ACCOUNT Fungua INVESTMENT ACCOUNT yenye SIFA HIZO, Mfano; NMB huitwa FLEXI ACCOUNT.
3. Kulingana na hiyo No. 02 then INVESTMENT ACCOUNTS zipo za aina Mbili..
i. Zenye kurudisha RETURN kila mwezi huku PRINCIPAL ikiendelea kuzalisha RETURN kulingana na INTEREST na TIME FOR CONTRACT.
ii. Zile ambazo unapewa RETURN na PRINCIPAL contract iki MATURE...
#ASANTE
Akhsante,hakuna "fixed account", bali kuna fixed deposit.