Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kuna TWO TYPES WAYS...thanks,unanishaurije mkuu,maana nataka boom la laki tano,nusu niwe nasave,kidogo ili nilibahatika kumaliza chuo niwe na ka one million mkuu.
1. Fungua SAVING ACCOUNT, then unadunduliza hata ukipata JERO...
2. Kila hela kubwa unayopokea unafungulia INVESTMENT ACCOUNT yake ambayo at the end utapewa THE PRINCIPAL na ACCRUED RETURN.
Hapa sasa unatakiwa kujua hiyo shule yako inaisha lini (hizo hela utazitaka lini)
Then that will be your CONTRACT TIME.