[emoji16][emoji3][emoji30]Mi sipendi mtu unamuuliza maswali alafu hajibu.
Sasa hivi asipojibu nitajua kuwa dharau ama hajui,mana nimetuma mpaka wasomaji mvimbiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya changamka sasa
Kwa hyo nawezaje kupata account ya akiba ambayo kila mwezi nitakatwa kiasi katika mshahara uingie huko kenye account then nije kutoa baada ya mwaka ?Kiwango cha fixed account mara nyingi huanzia laki 5 kwa benki nyingi,
Unaweza kuweka kila mwezi ila inakuwa ni separate account kwa kuwa fixed iko fixed kwenye time na deposits, yaani ukishakubaliana hauwezi kuongeza deposits wala kuongeza muda wa kuiva kwako.
Hayo masuala ya kutoa hela kwenye mshahara bado sijajua
Pia ukiwa na tatizona unataka hela kwa haraka unawezaukakopa benki hiyo hiyo ukitumia fixed account kama dhamana
Sina uhakika kwenye hilo la kukatwa hela moja kwa moja, lakini jiulize ukikatwa laki 5 kwenye msahara wako unaweza kwenda, kwa maana fixed accounts kiasi chake cha kuanzia ni hikoKwa hyo nawezaje kupata account ya akiba ambayo kila mwezi nitakatwa kiasi katika mshahara uingie huko kenye account then nije kutoa baada ya mwaka ?
Sent using Jamii Forums mobile app
10% uringe? Ni 3% tuInategemea na benki, na kiwango cha riba wanayotoa! riba nyingi najua hazizidi 10%
Fixed account haina gharama ya uendeshaji. Jambo la pili ni kuwa huwezi kudeposit kila mwezi. Yenyewe ni kuwa unaweka hela milioni 1 labda then unasema unaiweka kwa muda gani na hutaruhusiwa kuitoa hadi muda huo utimie. Hiyo unayotaka kufanya ya kudeposit kila mwezi kuna benki wana akaunt za namna hiyo mfano nbs wana malengo akaunt ambayo kila mwezi unaweka kiwango fulani cha pesa na wanaweza kukukata direct kwenye mshahara wako kwa maelekezo yako.Hiyo fixed account mimi naitaka.
Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.
Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?
Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?
Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?
Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.

Angalia kwa muda gani, anually huwa ni kubwa kati ya sita na kuaendelea, mara nyingi huwa inalita kwa mwezi na kwa miezi mitatu huwa ina range kwa 1 - 1.6 %
Mweh ! [emoji45]Hii fixed acc hata serikalini kuna watu wanapiga mpunga mrefu sana kwa kuweka fedha za serikali kwenye accounts binafsi halafu zikishatema faida wanarudisha cha serikali na wao wanabaki na faida.
Chief embu naomba unijibu swali langu post #30 maana nimemuuliza mwamba naona yupo busy tu na manziAngalia kwa muda gani, anually huwa ni kubwa kati ya sita na kuaendelea, mara nyingi huwa inalita kwa mwezi na kwa miezi mitatu huwa ina range kwa 1 - 1.6 %
Muda mdogo wa fixed huanzia miezi mitatu, ambayo ndio huwa inarange hapo kwenye 3% ila pia kumbuka kila bank ina masharti yake tofauti
Amelotosha hapo-Overdraft ni facility ya kibenk kama mkopo guarantee, LC and etcKwamba current acc unaweza kutoa pesa zaidi ya uliyonayo, kivipi sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweka kila mwezi hip ni saving account- kuna bank wanafungua saving accounts ambazo unaweza kuweka tu kutoa mpaka muda mliowekeana. ILAHiyo fixed account mimi naitaka.
Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.
Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?
Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?
Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?
Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua kiasi cha kuvuna ni makubaliano baina ya benki na customer, je kwa uzoefu wako tu ukiweka fixed Tshs 500k ni kiasi gn unaweza kuvuna kwa muda wa miezi mi3?Benki nyingi zinaanzia laki 5
Riba inayotolewa na mabank kwenye mikopo ni kubwa sana kuliko wanaotoa wao kwenye fixed deposits na mwisho wa siku faida unayopata inakatwa kodi....hio ni hasara kwako.Unaonaje kama nikichukua mkopo WA benki mahali na kiasi kukitupa huko kama biashara? Kitaaluma inakuwaje hii.
100 unaweza pata mpaka 14-16% inategemea bank na bankNikiweka 100M naweza kupata riba kiasi gani kila mwezi kwa makadirio tu.
Mara nyingi hii ni kwa ajili ya wafanyabishara wakubwa mfano Mo au Bakhressa pia kampuni na co kwa customers wa kawaidaVipi wakati wa kurejesha kile kiasi ulichozidisha kukitoa kunakuwa na Riba?
Tembele bank yako uone wanawwza toa nini au pita bank 2,3 kuna sehemu utaikuta.Kwa hyo nawezaje kupata account ya akiba ambayo kila mwezi nitakatwa kiasi katika mshahara uingie huko kenye account then nije kutoa baada ya mwaka ?
Sent using Jamii Forums mobile app