Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Wadau, kwa bank ya crdb kwa kiwango cha milioni 100 kwa mwaka m'moja ukiweka fixed account riba inakuwa kiasi gani?
 
Kiwango cha fixed account mara nyingi huanzia laki 5 kwa benki nyingi,

Unaweza kuweka kila mwezi ila inakuwa ni separate account kwa kuwa fixed iko fixed kwenye time na deposits, yaani ukishakubaliana hauwezi kuongeza deposits wala kuongeza muda wa kuiva kwako.

Hayo masuala ya kutoa hela kwenye mshahara bado sijajua

Pia ukiwa na tatizona unataka hela kwa haraka unawezaukakopa benki hiyo hiyo ukitumia fixed account kama dhamana
Kwa hyo nawezaje kupata account ya akiba ambayo kila mwezi nitakatwa kiasi katika mshahara uingie huko kenye account then nije kutoa baada ya mwaka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika kwenye hilo la kukatwa hela moja kwa moja, lakini jiulize ukikatwa laki 5 kwenye msahara wako unaweza kwenda, kwa maana fixed accounts kiasi chake cha kuanzia ni hiko

2. Wakikata maana yake kila mwezi uwe unafungua acount mpya kwa kuwa account haiwezi ongezewa pesa wala kupunguzwa ukishafungua
 
Hiyo fixed account mimi naitaka.

Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.

Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?

Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?

Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?

Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fixed account haina gharama ya uendeshaji. Jambo la pili ni kuwa huwezi kudeposit kila mwezi. Yenyewe ni kuwa unaweka hela milioni 1 labda then unasema unaiweka kwa muda gani na hutaruhusiwa kuitoa hadi muda huo utimie. Hiyo unayotaka kufanya ya kudeposit kila mwezi kuna benki wana akaunt za namna hiyo mfano nbs wana malengo akaunt ambayo kila mwezi unaweka kiwango fulani cha pesa na wanaweza kukukata direct kwenye mshahara wako kwa maelekezo yako.
 
10% uringe? Ni 3% tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia kwa muda gani, anually huwa ni kubwa kati ya sita na kuaendelea, mara nyingi huwa inalita kwa mwezi na kwa miezi mitatu huwa ina range kwa 1 - 1.6 %

Muda mdogo wa fixed huanzia miezi mitatu, ambayo ndio huwa inarange hapo kwenye 3% ila pia kumbuka kila bank ina masharti yake tofauti
 
Chief embu naomba unijibu swali langu post #30 maana nimemuuliza mwamba naona yupo busy tu na manzi
 
Hiyo fixed account mimi naitaka.

Nataka kufungua niweke kiasi cha pesa kila mwezi baada ya miezi 12 ndo nataka kuitoa.

Je hakuna pesa ambayo nitakatwa kama malipo ya kuwalipa kunitunzia pesa ?

Je ikitokea kuna tatizo nikahitaji kutoa pesa kwa muda usiokuwa nimeandika inakuwaje ?

Na je inawezekana nikawaambia benki husika wanikate kwenye mshahara moja kwa moja pale unapoingia uende kwenye fixed account ?

Nijibu hayo niendelee maana ninaitaka hyo fixed account.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweka kila mwezi hip ni saving account- kuna bank wanafungua saving accounts ambazo unaweza kuweka tu kutoa mpaka muda mliowekeana. ILA

Fixed account unafanya one single deposit. Mfano unaweka 10m kwa mwaka mmoja kwa riba ambayo inaanzia 6-8% kwa mwaka. N a pia napenda kukumbusha faida unayopata unatakiwa ilipia kpdi ya 10% (ya faida)-withholding tax upon maturity/ kuiva kwa fixed deposit yako

The good, the bad and the ugly.
 
Unaonaje kama nikichukua mkopo WA benki mahali na kiasi kukitupa huko kama biashara? Kitaaluma inakuwaje hii.
Riba inayotolewa na mabank kwenye mikopo ni kubwa sana kuliko wanaotoa wao kwenye fixed deposits na mwisho wa siku faida unayopata inakatwa kodi....hio ni hasara kwako.

The good, the bad and the ugly.
 
Vipi wakati wa kurejesha kile kiasi ulichozidisha kukitoa kunakuwa na Riba?
Mara nyingi hii ni kwa ajili ya wafanyabishara wakubwa mfano Mo au Bakhressa pia kampuni na co kwa customers wa kawaida
 
Kwa hyo nawezaje kupata account ya akiba ambayo kila mwezi nitakatwa kiasi katika mshahara uingie huko kenye account then nije kutoa baada ya mwaka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembele bank yako uone wanawwza toa nini au pita bank 2,3 kuna sehemu utaikuta.

The good, the bad and the ugly.
 
Back
Top Bottom