Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

BancABC nitakupa the best rate in the market, 0779000347
 
Habari Jf.Msaada kwa Anayejua Vizuri jamani,Naitaji Kuweka Fedha Yangu 10 million katika Fixed A/c ya Bank Yoyote!Hususani CRDB na NMB.Nianze Kuitumia After 3 years.sasa Sijajua Ni Bank Ngani Iko Vizuri In terms Of Rate..Msaada Wenu Ni Muhimu sana jamani
 

Tumia CRDB!
 
CRDB Hipo Vp Hyo Mkuu!!Kwa Hyo Pesa After 3 Years Return Yao Iko Vipi?
 
  • Benki nzuli ni CRDB, Viwango vyao tazama kwenye link hapo chini
  • Pia ni vyema ukafika tawi lolote lililo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Code:
[URL="http://www.crdbbank.com/index.php?option=com_wrapper&view=wrapper&Itemid=115&lang=en"]Interest Rates[/URL]
 

Ata nbc wapo vizuri kwenye fixed Acc
 

umeshataja benk unazotaka nenda huko nmb au nbc watakushauri na kukupa riba zao sio hapa jf
 
jamani huu uzi ni muhimu sana, ukiweka pesa zako kwenye fixed account baada ya muda mliokubaliana itakulazimu ulipe kodi ijulikanayo kama Withholding Tax, hii kodi itatozwa kwenye riba (interest) iliyopatikana baada ya pesa yako kukaa kwenye huo muda mliokubaliana.
Hii kodi inayotozwa ni 10% kwa mkazi wa tanzania (resident) na kwa asiye mkazi wa tanzania (non resident).

Wadau njooni huku mtuelimishe zaidi!
 
Usiweke pesa ya tanzania ktk fixed account.
milioni10 mwaka 2016 itakuwa imeshuka thamani sana.
labda uibadili ktk dola au Euro,nakushauri usiweke bank
nunua Ardhi kati ya jiji la mwanza,arusha na Dar.
baada ya miaka mitatu, kapime viwanja.utazalisha pesa ktk thamani halisi.
ukishindwa kabisa nunua dhahabu iweke bank
 

Mkuu upon vizuri. Fixed deposit hapa Tanzania unapoteza pesa. Nakuunga mkono kwenye ardhi na dhahabu.
 
Ardhi inapanda bei kila kukicha ni Bora kuliko kusubiria 30% ya hio milioni kumi ....nunua ardhi mkuu
 
ni bora ufungue akaunti ya dola/euro na uhifadhi kwa namna hiyo. As thamani ya fedha hzi inakua kila kukicha.

Pia unaweza kununua kiwanja (inahitaji umakini na utafiti kabla ya kununua) then ukiuze muda utakapofika.
 
Mliosema ardhi mmemliza point!

Mkuu uamuzi ni wako...
 

nimependa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…