Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF plan yangu ni kufungua deposit fixed account kiasi Kama cha 20m kwa mwaka mmoja, ni bank gani inatoa faida nzuri kwa asilimia ngapi?!
seriously?! baada ya kuzungusha hio hela mwaka mzima unaenda kuweka mwaka mzima upate ka-interest tu?
Hizo pesa zina kazi maalumu Mie utaalam na biashara sina!