Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Sema ishu za Fixed Account ni kuulizia kiundani sana. Wakati unaenda kuweka pesa ulizia Terms and conditions. Maana wanaangalia pale unapoeka pesa na fedha inavyopanda na kushuka kwa United States Dollars
 
Kwa wenzetu wenye pesa ya Ukweli wanapata faida mfano umeweka Mil 50
Kwa mwaka unapata faida ya Mil 4.

Halafu unakuta thamani ya Tshs 50M imeshuka kwa 6M.
Ili upate faida lazima rate of interest iwe kubwa kuliko ya inflation. Kama 50M wakati unaweka bank ungeweza kupata dola elf 25 lakin baada Mwaka 54M huwezi kupata hata dola elf 24 utasemaje umepata faida
 
Huwa wanadeduct kumbe,...ikitokea inflation ikawa kubwa zaidi ya interest?
Inflation haiwi deducted isipokuwa fedha uliyoipata unakuta imepungua thamani kwa hiyo rate ya inflation, sema point kubwa pia inategemea ni bidhaa gani ambazo zimeathiriwa sana na inflation.
 
Inflation haiwi deducted isipokuwa fedha uliyoipata unakuta imepungua thamani kwa hiyo rate ya inflation, sema point kubwa pia inategemea ni bidhaa gani ambazo zimeathiriwa sana na inflation.
Yah,but kwa wengine hzi account ni atimize tu lengo flan,Kuna baadhu ya vitu bei huwaga hazibadiliki kiivi
 
Mteja ni mfalme, kama una pesa nyingi usiangalie rates zilizobandikwa, nenda kabargain nao, angalia rates za mabenki kwa mabenk wanavyokopeshana ndo utajua kuwa ukiwa na hela cash we ni mfalme.

Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa crdb wanieleze tafadhali
 
Wewe kama una Pesa ya kutosha, nenda Tawi lolote La Benki ya Posta sasa wana rate nzuri , vile vile Kwa kiwango kikubwa ni negotiable. Kuna fixed deposits Kwa miezi 3,6,9,12,24 hadi 36. Kazi ni kwako!
 
Crdb bank wanatoa Interest (Riba) ya 7.5% Kwa mwaka. Kama una cash usiogope lolote nenda bank weka mzigo akuna vikwazo vyovyote baada ya siku 365 unapata faida yako bila shida yoyote mwenye fedha na assets wewe ni mfalme kwao
 
TANZANIA POSTAL BANK (TPB) ni bank poa sana, mimi binafsi nilishawahi kupata huduma yao ya FIXED ACCOUNT,Na kabla sijafanya maamuzi ya kuweka pesa nilipitia bank zote kuona masharti na faida,nikaja fanya maamuzi kuweka(TPB) kwa kuwa wana interest rate safi, Mimi niliweka milioni 10 na niliweka kwa miezi mitatu tu kwa rate ya 5%,na rate upanda kutokana unaiweka pesa kwa muda gani unaweza weka kuanzia miezi 3,6,9,12 na24 wapo vizuri kwa kweli.
 
Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa crdb wanieleze tafadhali

best rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
 
[QUOTE="Gyuzi, post: 15796915, member: 292568
Tawi La Benki ya Posta sasa wana rate nzuri , vile vile Kwa kiwango kikubwa ni negotiable. Kuna fixed deposits Kwa miezi 3,6,9,12,24 hadi 36. Kazi ni kwako![/QUOTE]

Kwa muda wa miaka 2 Riba yao ni kiasi gani kwa asilimia
 
Nimecheki ktk Tanzania Postal Bank(TPB) wapo vizuri sana ktk huduma
 
Crdb bank wanatoa Interest (Riba) ya 7.5% Kwa mwaka. Kama una cash usiogope lolote nenda bank weka mzigo akuna vikwazo vyovyote baada ya siku 365 unapata faida yako bila shida yoyote mwenye fedha na assets wewe ni mfalme kwao
Mwenye assets?!!! Ufafanuzi please
 
Kama unakopa pesa kwa kutumia Assets inakubalika lakini uwe na Hati ya nyumba au Kiwanja husika
 
Back
Top Bottom