Fixed account

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
485
Reaction score
222
Wanajamvi nategemea wazima!

Nina mdogo wangu kapata mil.15, kwa vile ni msichana mdogo ameniomba ushauri wa biashara ya kufanya, kwa kweli nimemshauri afix pesa yake kwa muda wa miezi sita wakati akitafakari la kufanya!

MSAADA. je ni bank gani anaweza kufix kwa mda huo akapata faida nzuri? kama asilimia ngapi bank hiyo yupo mostly likely kupata?

As always salute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…