Isack Lusajo
Senior Member
- Nov 3, 2021
- 108
- 208
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka azime mapema sanaTafuda mechi moja ya Odds 1 kila siku na ustake mzigo wote, utakuwa unavuna hiyo 240k daily.
Umekosea sio kweli au aliyekuhudumia ni kilaza hajui alisemalomkuu izi data nimezipata leo nmb branch hata mm nikashangaa sasa hapo kuna mtu atakubali kuweka pesa kweli
Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Hata hivyo ni hasara ,yaani kwa 4omil,ukifanya biashara kwa pesa hiyo 2mil unaingiza ndani ya siku moja tuLabda umekosea
240000 ni withholding tax
Interest ni million 2 na laki 4
Ukitoa unakunja milioni 2 na laki moja na 60
Wezi wakubwa!Wanyonyaji
Waambie wao wakukopeshe iyo hela ili uone.Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Inawezekana kabisa aliyekupa maelekezo ni kilaza. Kwa Tanzania kwenda sehemu na ukapewa majibu yasiyo sahihi kabisa tena kwa jambo la maana sana siyo ajabu. Hata mimi bado siamini kuwa mil 40 kwa mwaka utapewa kiasi hicho.nikweli kabisa na nikamuuliza kwanini inakua hivi na ukiingia kwenye mobile yao unakupa data tofauti kabisa kwenye mobile app wanadai baada ya mwaka wanakupa milion 40% 2,160,000 baada ya kodi.
majibu aliyonipa baada ya kuhojii wanadai wanatoa riba kubwa iwapo wanataka pesa kwasasa pesa zipo.
mkuu nakuomba uende nmb amini usiamini nilichokiandika ndicho walichoniambia na siamini kama bank watakua na muhudumu kilaza ashindwe kufanya hesabu wakati system anayoSIO KWELI
SIO KWELI
SIO KWELI
Jaribu kusikiliza vizuri 240000 ni 0.6% ya mil 40. hakuna bank inaweka rate hiyo kwenye fixed deposit kwa mwaka.Nasisitiza HAKUNA
jaribu kwenda tawi la nmb ukasibitishee240k kwa 40m ni sawa na 0.6% ya pesa yote kitu ambacho haiwezekani. Itakua either hukuwaelewa au aliyekuelekeza amekuchanganya, hakuna rate ya hivyo bank. Wengi kama sio wote huanzia 5% - 7% kwa mwaka ambayo kwa mfano ikiwa 6% ya 40m itakua 2.4m kwa mwaka ( ambayo pia ni ndogo bado).
Wala haihitaji niende nmb, kwa akili tu ya kawaida hicho kitu hakiwezekanimkuu nakuomba uende nmb amini usiamini nilichokiandika ndicho walichoniambia na siamini kama bank watakua na muhudumu kilaza ashindwe kufanya hesabu wakati system anayo
Uwa hakuna makato ya VAT kwenye interest inayopatikana. Makato uwa ni withholding tax ambayo uwa ni 10% ya faida iliyopo.tena ukiwauliza wanadai wanatoa 6% kwa mwaka sasa kama hiyo intrest ukipiga hesabu mbona sio 240k ni milion 2,160,000 baada ya Vat
Hivi hamna faida kbsHabari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Hata hivyo bado ni ndogoJapo bank ni wanyonyaji ila nahisi umechanganya madesa.
Milioni 40 kweli wakupe faida laki 2 na 40 kweli
Nahisi kuna sifuri umeisahau, ni milioni 2 na laki 4 ndiyo walipaswa wakupe.
Japo nayo ni ndogo sana kwa milion 40
Kwani hujui malengo ya haya MavituHabari wakuu