Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Hio 240,000 una uwezo wa kuiingiza kwa wiki 2 kwa mtaji wa milioni 1.

nakwambia biashara ambayo naifanya wala sio kwamba mm ni motivational speaker😅😅

Anzisha biashara isiyo rasmi ya kukopesha wadau hapo mtaani

mkopo wa laki 1, riba yake ni 20,000 kwa wiki 2 (kwangu nabana kwa wiki 1 tu, this means kwa mwezi ni 80% kama mteja akiendelea kukopa pesa hio hio, sharti ni kuleta riba na kuendelea na mkopo}

Hakikisha unachukua vitu bondi vyenye thamani kubwa mara 2 ya mkopo uliochukuliwa. UWE SERIOUS SANA KATIKA SUALA LA BONDI NA UWEKE MAANDISHI. THIBITISHA KABISA MALI NI YAKE KABLA YA YOTE.

KUWA MAKINI MATAPELI NI WENGI SANA HAPA, WANAKUJA KWA LUGHA LAINI SANA WAKISHAPATA HELA WANAKIMBIA

kwa mtaji wa milioni 1 tu kwa mfano, kwa interval ya wiki 2, kwa riba ya 20%, unaingiza 400,000 faida.

TAHADHARI TENA;
Kuna watu si waaminifu, wanaweka bondi mali zisizo zao.

Kwa bondi kubwa zenye hati kama nyumba, kiwanja, pikipiki ama gari, jitahidi ukaandikishane kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.

Hapa kwenye maandishi weka pesa jumla na mkopo wake. Usiandike kama umemkopesha isije ikakuletea shida baadae.

Aliechukua pesa aji commit kwamba endapo pesa haitorudishwa kwa muda mliokubaliana basi bondi yake iuzwe kurudisha fedha alizochukua kwako.


anza pole pole tu utakuja kuniambia utam wa hii biashara.
 
....Ni Jingazz!....,[emoji35][emoji35][emoji35]...Na Wezi ![emoji84][emoji84]
 
Fungua bank ndogo ( M-Pesa shop) uzungushe hela yako, utapata zaidi ya hiyo kwa mwaka, cha msingi uchague site yenye watu wengi.
 
Wekeza liquid fund ya Utt ndio yenye malipo mazuri kwa Sasa au dhamana za serikali
 
Mkuu ebu dadavua watu wanavunaje pesa kwenye ku bet (stake) fixed ya mechi moja. Risk ipoje!
Mfano niki stake 1,000,000 fixed kwenye mechi moja na kwenye odds 1 nawezakuvuna ngapi kwa siku ? Au ni kila siku hiyo timu ikicheza?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Japo bank ni wanyonyaji ila nahisi umechanganya madesa.

Milioni 40 kweli wakupe faida laki 2 na 40 kweli

Nahisi kuna sifuri umeisahau, ni milioni 2 na laki 4 ndiyo walipaswa wakupe.

Japo nayo ni ndogo sana kwa milion 40
Usiseme faida ndogo,,Kanuni ya uchumi inasema,,,high risk leads to high profit while low risk leads to low profit ,,,

Na hiyo biashara ni low risk kwahiyo faida ni lazma iwe ndogo

Chakufanya hapo asitegemee fixed account kuwa ndio means ya yeye kupata kipato ila anaweza akafanya biashara yenye high risk alafu faida unadeposit kwenye low risk hapo lazima utoboe maana baada ya mda utakuwa umeweka mzigo wa kutosha na faida utona ni nyingi

Mfano hapo kwa hesabu hizo akiweka fixed ya mil 400 yeye atapata mil 21 kama faida nayo ni nyingi tu unaweza ukakaa tu usifanye kazi na ukasumbua mjini

Ingekuwa wanatoa faida kubwa basi hakuna ambaye angefanya biashara yenye high risk kila mtu angepeleka hela huko benk kuweka fixed
 
Habari wakuu

Huu ndo uhalisia ulivyo NMB sawaharibii biashara ila natoa tahadhali kwa yoyote ataekwenda kufungua Fixed Account aombe kwanza kufanyiwa hesabu kabla hajafanya fixed.
Na MAHESABU yenyewe siyo Yale ya tutakupa ASILIMIA kadhaa.

waseme wazi kwa mwaka mnanipa Bei gan kabisa, ASILIMIA ntapiga mwenyewe.
 
Labda umekosea
240000 ni withholding tax

Interest ni million 2 na laki 4
Ukitoa unakunja milioni 2 na laki moja na 60
Hata mimi siyo mtaalamu wa mahesabu, lakina hapa naona kuna mkanganyiko. Milioni 40 kwa faida ya laki 2 na 40 kwa mwaka!

Sasa si bora ununue kiwanja kidogo eneo la mjini, halafu ujenge nyumba ya vyumba 2 vyenye sebule na choo! Halafu ukapangisha vyote kwa laki 3!
 
mkuu izi data nimezipata leo nmb branch hata mm nikashangaa sasa hapo kuna mtu atakubali kuweka pesa kweli
Nunua kiwanja sehemu nzuri, jenga vyumba viwili tu vya kuanzia vyenye sebule na choo ndani. Utakula kodi wewe, watoto wako na wajukuu pia.

Acha kuendelea kuwanufaisha hao mabepari wasiotosheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…