Upo wapi mkuu tuingie ubia?Mm nina kibanda cha CHIPSI, nimewekeza 3m, napata kila siku 20k. Kwa mwezi ni 600k. Njoo unipe 3m ntakuwa nakupa 3m kila Mwaka!
ndiyo,fika kwenye tawi lao watakujuza zaidi ila wanatangaza sana hiyo ofa ukifika ulizia mzigo flexUnasema kweli? Yaani nikiweka ten million napata laki tisa kila mwezi🤔🤔🤔
Usemayo yana ukweli,kama juzi wametoa gawio kwa serikali yaani faida yao baada ya kutoa kodi na madeni yao yote kulipa ilikuwa ni zaidi ya Bilioni 20 plusHella walonazo zinawatosheleza sikuiz, zaman walikuwa hawana ya kutosha
Kwa sasa bank zina pesa ya kutosha ndiyo maana wakamjibu hivyo vinginevyo wanatoa riba ile ile ya 0.6.Unapotosha kwa makusudi.
cc: NMB Tanzania
Hapo kwenye bonds tuombe kaufafanuzi kidogo.Kitu kigeni kwangu!Nunua bonds. Kwa mwaka utapata 6m
mabenki yameanza kutoa riba nafuu asilimia 9 mpaka 10, hapa mabenki yatapoteza fedha nyingi walizokuwa wanapata mwanzo kwa riba ya mikopo ta asilimia 20 - kwenye fixed account lazima interest zitakuwa chini sana. Wananchi hatuwezi kupata yote - riba ya mikopo ya chini na faida kubwa kwenye amana zetu. Zungusha hiyo pesa tujenge uchumi.Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Usemayo yana ukweli,kama juzi wametoa gawio kwa serikali yaani faida yao baada ya kutoa kodi na madeni yao yote kulipwa ilikuwa ni zaidi ya Bilioni 20 plusHella walonazo zinawatosheleza sikuiz, zaman walikuwa hawana ya kutosha
Hao jamaa tajwa sio fixed tu ata ile hati fungani yao ni UJINGA MTUPUUUUUU wana term.za kumbana mtaja alafu kafaida kao kadogoo sanaaHabari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamkumbuka yule jamaa aliyepoteza 3M kwa odd ya 1.02??Tafuda mechi moja ya Odds 1 kila siku na ustake mzigo wote, utakuwa unavuna hiyo 240k daily.
Fafanua mkuuHao jamaa tajwa sio fixed tu ata ile hati fungani yao ni UJINGA MTUPUUUUUU wana term.za kumbana mtaja alafu kafaida kao kadogoo sanaa
Daah!! Mkuu au wamekupa hesabu ya million nne??Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Wapigie ni bureUnasema kweli? Yaani nikiweka ten million napata laki tisa kila mwezi[emoji848][emoji848][emoji848]
hii ofa inaisha mweziii wa sa7Wapigie ni bureView attachment 2276505
Mwezi wa saba mwishoni ama?hii ofa inaisha mweziii wa sa7
Mkuu sasa uweke 5M afu ulipwe 450k kila mwezi kweli???? Ko kwa mwaka ulipwe 5.4M kweli[emoji16][emoji16][emoji16]Inamaana hapo mfano nimeweka milioni 5 yangu,faida yangu nitakayokuwa nachukua kila mwezi ni laki 4 na nusu sio hapo hakuna kukatana kwenye kodi ya serikali ya laki nne na nusu.....kama ni ivyo na kweli iko poa ila kama hapohapo kwenye faida yangu kuna makato basi ni biashara kichaa iyo
3M[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] watu wajeshi asee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamkumbuka yule jamaa aliyepoteza 3M kwa odd ya 1.02??
Acha kupotosha. Faida ya kila mwezi ni tshs 285,000/ na faida baada ya mwaka mmoja ni tsh 3,420,000/Habari wakuu
Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
nimewauliza hapo,kumbe hela utakayoiweka faida yake ni asilimia 9 kwaiyo iyo faida ndio unachagua wewe wakupe kwa muda gani ni mwezi,miezi 3 ama 6,ila iyo mzigo flex ni biashara kichaa tu,yaani hela yangu milioni 5 faida yake ni laki nne na nusu kwa mwaka,kwaiyo wanaigawanya kwa kila mwezi endapo utataka kuichukua,mfano wa laki nne unusu ni sawa na kila mwezi wanakupatia elfu 37,500,ni hela yangu nikae nayo mwenyewe tuMkuu sasa uweke 5M afu ulipwe 450k kila mwezi kweli???? Ko kwa mwaka ulipwe 5.4M kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
Chukuwa government bond.Habari wakuu