Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Hella walonazo zinawatosheleza sikuiz, zaman walikuwa hawana ya kutosha
Usemayo yana ukweli,kama juzi wametoa gawio kwa serikali yaani faida yao baada ya kutoa kodi na madeni yao yote kulipa ilikuwa ni zaidi ya Bilioni 20 plus
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
mabenki yameanza kutoa riba nafuu asilimia 9 mpaka 10, hapa mabenki yatapoteza fedha nyingi walizokuwa wanapata mwanzo kwa riba ya mikopo ta asilimia 20 - kwenye fixed account lazima interest zitakuwa chini sana. Wananchi hatuwezi kupata yote - riba ya mikopo ya chini na faida kubwa kwenye amana zetu. Zungusha hiyo pesa tujenge uchumi.
 
Hella walonazo zinawatosheleza sikuiz, zaman walikuwa hawana ya kutosha
Usemayo yana ukweli,kama juzi wametoa gawio kwa serikali yaani faida yao baada ya kutoa kodi na madeni yao yote kulipwa ilikuwa ni zaidi ya Bilioni 20 plus
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Hao jamaa tajwa sio fixed tu ata ile hati fungani yao ni UJINGA MTUPUUUUUU wana term.za kumbana mtaja alafu kafaida kao kadogoo sanaa
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Daah!! Mkuu au wamekupa hesabu ya million nne??
 
Unasema kweli? Yaani nikiweka ten million napata laki tisa kila mwezi[emoji848][emoji848][emoji848]
Wapigie ni bure
Screenshot_20220523-113646_Facebook.jpg
 
Na MAHESABU yenyewe siyo Yale ya tutakupa ASILIMIA kadhaa.

waseme wazi kwa mwaka mnanipa Bei gan kabisa, ASILIMIA ntapiga mwenyewe.
bank kuna ubabaishaji wa kiwango cha lamii usipokua makini wanakula kichwa
 
Inamaana hapo mfano nimeweka milioni 5 yangu,faida yangu nitakayokuwa nachukua kila mwezi ni laki 4 na nusu sio hapo hakuna kukatana kwenye kodi ya serikali ya laki nne na nusu.....kama ni ivyo na kweli iko poa ila kama hapohapo kwenye faida yangu kuna makato basi ni biashara kichaa iyo
Mkuu sasa uweke 5M afu ulipwe 450k kila mwezi kweli???? Ko kwa mwaka ulipwe 5.4M kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamkumbuka yule jamaa aliyepoteza 3M kwa odd ya 1.02??
3M[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] watu wajeshi asee..
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Acha kupotosha. Faida ya kila mwezi ni tshs 285,000/ na faida baada ya mwaka mmoja ni tsh 3,420,000/
 
Mkuu sasa uweke 5M afu ulipwe 450k kila mwezi kweli???? Ko kwa mwaka ulipwe 5.4M kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
nimewauliza hapo,kumbe hela utakayoiweka faida yake ni asilimia 9 kwaiyo iyo faida ndio unachagua wewe wakupe kwa muda gani ni mwezi,miezi 3 ama 6,ila iyo mzigo flex ni biashara kichaa tu,yaani hela yangu milioni 5 faida yake ni laki nne na nusu kwa mwaka,kwaiyo wanaigawanya kwa kila mwezi endapo utataka kuichukua,mfano wa laki nne unusu ni sawa na kila mwezi wanakupatia elfu 37,500,ni hela yangu nikae nayo mwenyewe tu
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Chukuwa government bond.
 
Back
Top Bottom